Shondola
Member
- Apr 2, 2014
- 95
- 58
Juzi siku ya jumamosi uvccm mkoa wa Arusha walifungiana ofisi baada ya kubaini kuwa kuna ubadhilifu Wa shilingi milioni kumi na tatu ziliziliwa na Mwkt na Katibu wake
Wajumbe walipokuja kwenye kikao na kuikuta hali ya pesa zao hazito zimeliwa waliende kununua kofuli na kuifunga ofisi
Baada ya kufunga Katibu Wa Mkoa huo Wa vijana aliulizwa kwani hili limetokea akajibu waliyofunga ofisi ni majangili na wanataka kunifundisha Kazi baada ya kuwakatalia vitu vyao feki ikiwa ni Pamoja na mtandao wao Wa uraisi
1.Mwenyekiti alitaka nimlipe laki tano Kama posho ya mwezi nikamkatalia
2.Mwenyekiti alitaka kunilazimisha kuvunja kanuni kwa kuunda kamati feki ya uchumi bila Baraza kuridhia nikakataa
3.Kuna mpango Wa kumleta mwekezaji Wa kihindi aje kuwekeza jengo kubwa mkataba ambao utatupeleka miaka MIA bila faida kwa vijana na tayari wameshaa ahidiwa shilingi milioni MIA mwenyekiti na wenzake mm nimekataa maana sitaki history ije kunihukumu.
4. Mgogoro Wa kamanda meru mwentekiti ametengeneza kamanda wake tofauti na ambaye vijana wanamtaka wilaya ya meru jambo ambalo kwenye ziara ya mangula watu wameru walisemawazi kuwa anayevuruga siasa ya meru ni mwenyekiti Wa Mkoa Mgogoro huo kwa sasa umeingiliwa na kambi za ubunge na urais.
Nawatakia mgogoro mwema UVCCM Mkoa Wa Arusha
Naona umejitahidi kubeba mawazo ya ziro Mwadalu
1. Mwenyekit hahusiki na tuhuma za fedha na si yeye aliyefunga ofisi ni kamati ya utekelezaji ya Baraza kuu la vijana mkoa wa Arusha,lkn pia angekueleza kuwa ndie aliyekiitisha kikao kilichomuwajibisha. Lazma atoe hesabu ya hela hy 14M la sivyo lazma aende jela. Posho ya laki tano ni uongo mtupu atunge mwingine huu umefeli.
2. Uwekezaji wa chama sio wa kwanza huo,akwambie huyo uwekezaji wowote na mali za chama zinasimamiwa na baraza dogo la wadhamini la UVCCM Taifa.
3. Khs kamanda wa Meru ni mgogoro uliomgarimu ktb wa Mkoa aliyetangulia Kidima, kwa kushirikiana na ktb wa w-Meru wamekula hela wakauza ukamanda,kama mbaya ni Mwenyekit kwa nini Kidima aliondolewa? Huyo amekuwa akitumika kumtembeza Mzee anaeutaka ukamanda kwa nguvu akalipa vijana waandamane lkn pia ni kwa ajili ya harakati za Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki.
4. Mmejitahidi sana kukwamisha baraza lkn limefanyika na maamuzi yametoka.
Nasema tena muda c mrefu tutaelewana tu na Arusha yetu itakuwa huru