Uvccm-------->2012

UVCCM branches zipo ngapi? Mara kuna kundi la akina Nape, Lowassa, Nchimbi nk.
 
Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,
 
hawezi rudi
 
leoleo umeniacha hoi na signature yako tu!! Ya kweli hayo???
 
Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,

hapa nazidi kumuamini mleta thread!
 
haaah haaah huyu namuonaga fb. Ni kilaza mkuu!si ndie mmiliki wa Tanuru la fitna. Hana lolote huyu mchumia tumbo wa kambi ya EL.
 
Sambala ni mnafiki dunia nzima ingawa hamfikii nape, ni rfk yangu kule fb kwa kfupi ni mtu wa kupenda kujikweza, misifa anamzidi hata dully skyes. Kwa anaebsha aende fb na jarbuni kumsearch kwa username hyo anayo2mia hapa jamvin.
 
Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,
Nimeipenda hii signature....

CCM IMEFANYA NIWE ALLERGIC NA MBOGA ZA MAJANI!
 
Back
Top Bottom