Weka picha yako kwanza tujue jinsia na mwonekano wako.
Rahisi kusauri.
Naweza kushauri uvae kaptura kumbe una tusipik miguuni na kitambi, utaonekana kama samtreala limekata senta bolti.
Rafiki designs nyingine ni balaa asije akajifanya kituko zaidi....:shut-mouth:Fuatilia fashion magazines kwa ushauri zaidi...
Rafiki designs nyingine ni balaa asije akajifanya kituko zaidi....:shut-mouth: