RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,495
- 135,475
huwa wananikosha sana.....kama hapa roho yangu kwatuuuu
na sifa ya nyumba ni chooBei ya kondoo huanzia mkiani 
![]()
ni shidaaa hata machine tayari imeamusha popo ni hatareee sanaaa uvaaji wa aina hii.
Kweli! Ila kuna baadhi ya watu watapinga. Vaeni vizuri tu, vaa nguo ndefu, pana isibane maungo yako ya mwili. Wamama pendeni kujistili la sivyo mtaishia kumegwa na kuachwa yaani mtakuwa kama kiti cha saloon
Wewe sio mtu makini
Hiyo nguo angevaa kimbaumbau - nyuma flat, wala lisingekua tatizo, sometime umbo tu la mtu, hivyo hata akivaa dera bado itaonekana mh!
Mmmmmmmmhhhhhh hii ni hataree especially kwa sisi wenye miwa but hawa wenye rambo wao wanachukulia ni poa tuu..!
\Tatizo liko wapi au ulitaka wavae style ya Boko Haram,Al shabaab au Is?
\Tatizo liko wapi au ulitaka wavae style ya Boko Haram,Al shabaab au Is?
Enhe ww uliye makini?
Bosi pengine uko sahihi mimi sipo sahihi ndo sababu bado sijapaki nasubiri nisikie kutoka kwako.Mie kama muumini wa falsafa za Bob Marley naomba kunukuu kutoka kwake ...I know am not perfect and i was not born to be.umekosa umakini mkuu