Uvaaji huu unalengo gani hasa?

Victormmj

New Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Ni mara kadhaa 2 nimekuwa nikiona hawa dada zetu, uvaaji wao wa kanga sio kabisa, cause wanazibana mno tena maksudi nasema hivyo kwa kuwa nishawaotea accidentally kama wawili hiv wanafungua kidogo kisha kuibana madhubuti kama anahis hakuna anayemwangalia. Nauliza hv kwa nn?
 
hv cku hz kuna wizara ya mavaztna we ndo c.e.o. poa kaz njema
 
C ungewaulza hao uliowaona?
 
Kihele hele sjui nimeingiaje huku!
Napta tu!!
 
Kweli wanaume wengine hawana kazi, yani mpaa mnatazama dada au sio dada zenu wamevaa vipi kanga:biggrin:
 
Mashudu tu haya....... si kasema alishaotea accidentally, au hajui maana ya neno accidentallly!!!!!!!!
Teacher:Kazi bado unayo.Fundisha huyo maana ya accidentally.Hawakawiagi kuchora picha ya zombie hajavaa viatu!
 
Being a woman is a big challenge.
 
kusoma hujui hata picha washindwa kutazama??
 
ukivutiwa,omba na utapewa,kama unaona cyo,unapotezea unafanya mambo yako.kimsingi mimi huwa natafasiri kuwa wanawaita wanaowatamani kuwa wako huru na unakaribishwa kama utapenda,bidhaa ni matanganzo,ukiifungia ndani ni nani ataiona?hutouza.ongea bei tu mzee wala usiogope
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…