Uuzaji wa vocha za simu

Uuzaji wa vocha za simu

THE BULL

Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
23
Reaction score
12
Ndg wanajamvi nahitaji kuanzisha biashara ya uuzaji wa vocha za simu kwa bei ya jumla,
Je inahitaji pesa kiasi gani ya mataji kuanzisha hiyo biashara?
Naombeni mnijuze ndg Zangu.
 
Ndg wanajamvi nahitaji kuanzisha biashara ya uuzaji wa vocha za simu kwa bei ya jumla,

Je inahitaji pesa kiasi gani ya mataji kuanzisha hiyo biashara?

Naombeni mnijuze ndg Zangu.

Roughly andaa kama milion 2 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom