Uuwiii! Masihara haya jamani

Uskute dada ndo alimnunulia jamaa yake hilo gari afu analeta zarau!
 
Hapana siyo huyo #ITEGAMATWI , hiyo picha wameitoa kwenye mtandao mmoja wa huko Nigeria( "Naija Babe Sets Her Boyfriend's Range Rover JEEP On Fire For Cheating On Her"). Ilimtokea msanii mmoja wa kiume, gfriend wake ndo akaamua kuichoma gari ya mshkaji.
 
Eid nzuri tu kakangu, vipi wewe

Al-hamdulillah nashukuru kweli niliona faida ya mfungo maana Eidd ilinipumbaza nikiwa familiya na ndugu wa karibu walokuja kwa furaha na tabasamu zisizoelezeka. kweli M/mungu ni mwingi wa fadhila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…