Uuuwiiii Operating System yangu ime crush | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uuuwiiii Operating System yangu ime crush

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Quemu, Dec 6, 2008.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yaani asubuhi hii nimeitumia laptop yangu. Halafu nikaiweka kwenye screen server, na kwenda kufanya shughuli nyingine. Nilipoirudia tena nikakutana na ujumbe umejaa screen mzima ukisema kitu kama hivi "An error has occured. If you are getting this message for the first time, then restart your computer."

  Sijawahi kuuona huu ujumbe before... Kwa hiyo nika restart. Lakini baada ya sekunde chache, ujumbe ukaja ukiniambia kuwa eti "Operating System not found."

  Je ina maana kuwa OS yangu imekuwa wiped off? Au ndo ma-hackers wameiba OS yangu?

  Uzuri ni kwamba nina backup OS, lakini ninasita ku-reinstall mpaka nijue nini kimesababisha tatizo ili.

  Jambo jingine, nina wasiwasi kama niki-reinstall OS nitaweza ku-recover file zilikuwapo kwenye OS iliyo crush?

  By the way, OS yenyewe ilikuwa Windows XP
   
 2. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2008
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole sana.

  Je, ni habari tu watuhabarisha ama wataka ushauri?
   
 3. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwanza ningependa wataalam wa IT wanifafanulie ni nini kimetokea

  Pili, wanipe ushauri nifanye nini
   
 4. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi sio mtaalam wa IT. Ila wakati tunawasubiri hao labda usingejali ka mchango kangu kadogo.

  Unaauliza iwapo utafanya fresh install utapoteza data zilizomo kwenye OS. Nadhani unamaanisha data zako zilikuwa zinakaa kwenye C drive au drive nyingine ndani ya partition hiyo hiyo yenye OS, sivyo ?

  Kama ni hivyo basi ukifanya fresh install hizo data ndio ntolee kwa sababu fresh install ita-format, itafuta na kutandika file system upya, ya volume nzima ambayo unaiambia windows iende ikakae.

  Kama kuna njia ya kufanya fresh install bila ku format hiyo volume ningependa kuijua, sijui kama ipo, na ingekuwepo ningejua, kwa sababu mimi michezo ya fresh install ndio zangu, windows ikianza mapepe ya ku boot wala sipati headaches, nafanya fresh install in a fly kwa sababu nina copy ya OS na settings zake zote niliyoitengeneza mwenyewe (situmii system disc iliyotoka kiwandani). Inakuwa kama copy and paste hivi, badala ya kukaa hapo nusu siku una adjust settings wakati na baada ya fresh install.

  Wewe QM una worry kuhusu kutafuta source ya tatizo. Kama kuna ka malware kameingia kwenye ma bootstrap sequence huko na kwenye ma CMOS good luck finding the tatizo. Especially kutoka kwa wataalam ambao hawako hapo na hiyo PC hivyo troubleshooting inakuwa hobbled kidogo.

  Mimi ningejali zaidi 1 ) ku recover data zangu 2 ) kutatua tatizo (ku boot komputa) kuliko kutafuta mdudu au chanzo cha tatizo kwa wakati huu.

  Komputer yako ilikuwa partitioned ? Data zilikuwa partition moja na Windows ?
   
 5. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ahsante Kuhani. Wasiwasi wangu ni kujua nini kimetokea kabla sija install OS nyingine. Nisije nika install OS nyingine halafu nayo ikaliwa. Kwa hiyo ningependa kujua kiini cha tatizo hili ili siku nyingine niweze kuthibiti.

  Hilo la ku-recover data halina umuhimu sana, kwa sababu nina secondary storages.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nadhani MBR yako imekuwa corrupted, inaweza ikawa virus, failing HD or just Data Corruption. Kuirestore fuata hatua hizi.

  Got a Damaged Master Boot Record?

  In most cases this problem can be fixed with a simple procedure that repairs your Master Boot Record (MBR). When you start your computer, the BIOS (basic input/output system) looks for the MBR on the first sector of your hard drive. The MBR tells the BIOS which partition on the hard drive contains the operating system.

  So... if the MBR is damaged, the BIOS can't locate and start the operating system. When your BIOS detects a damaged MBR or boot sector, you'll see ominous messages like Invalid partition table, Error loading operating system, or Missing operating system. In some cases, dark clouds will apppear on the horizon, and you may hear the distant rumble of thunder. But fortunately, the Recovery Console offers some tools to help clear up the problem.
  Repairing a Damaged MBR

  Your Windows XP setup CDROM has a tool called the Recovery Console, which is designed to help you repair a damaged master boot record or boot sector. To start the Recovery Console and fix your damaged MBR, follow these steps:

  1. Restart your computer with the Windows XP Setup disk in the CDROM drive.
  2. If you are prompted to press a key to start the computer from CDROM, do so quickly. Otherwise it may try to boot from the hard drive.
  3. After a few minutes, you'll see a prompt to press the R key to start the Recovery Console.
  4. When Recovery Console starts, it will prompt you to enter a number corresponding to the Windows XP installation that you need to repair. In most cases, you'll enter "1" (which will be the only choice). If you press ENTER without typing a number, Recovery Console will quit and restart your computer.
  5. Enter your Administrator password. If you don't enter the correct password, you cannot continue.
  6. At the Recovery Console command prompt, type fixmbr and then verify that you want to proceed.

  Your damaged MBR will be replaced with a shiny new one, and you should then be able to boot your system normally. In some cases, you may need to repair the boot sector in addition to the MBR. If your system still doesn't boot properly, repeat the steps above, but issue the fixboot command instead.

  NOTE: These procedures assume that you have only one operating system installed. If you are an advanced user and have a multi-boot system with more than one operating system, you may need to do some additional reading about the fixmbr and fixboot commands at the Microsoft website.
   
 7. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kang -

  Ahsante kwa maelezo.

  Nimejaribu kufuata hizo intructions bila ya mafaniakio. Pamoja na kuwasha computer na OS disk ikiwa ndani, bado napata blank screen, yenye message "Operating System not found." Yaani haini prompt kupress any key. Ushauri zaidi?
   
 8. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu QM, huwezi kusubiri OS iku prompt ku press buttons, OS ime crap out!

  Na huwezi kusubiri system disc i boot pc kama hujaiambia BIOS i buti CD.

  What you need to do is know the function key that turns on the boot menus.

  Una computer gani ?

  Hizo function keys unazibonyeza wakati unawasha computer, kabla OS haijafikiwa katika bootstrap sequence.

  Ukishaingia kwenye boot menus uchague kwamba next boot session computer i buti na CD.

  Computer yako computer gani ?
   
 9. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Computer yangu ni Sony Vaio.

  Ni Function key gani nahitaji kupress kufanya hivyo?
   
 10. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sio laptop, right ?

  Maana zinaweza kutofautiana.

  Ni model gani kama hujali ?
   
 11. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yes ni laptop. Model PCG-7M1L (I had to flip over to find. Please don't tell me this is not what you're looking for)...lol
   
 12. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hiyo ngoma F2 ndio function key.

  Iwashe na system disc ikiwa ndani tayari.

  Ukishawasha tu, anza kubonyezabonyeza F2 tap tap tap mpaka uone system settings za boot menu. Ukiona bado inajaribu kuwasha OS ujue unachelewa, au f(X) key sio F2.

  System setting ikiwaka soma sehemu itakuwepo inasema change boot sequence or something like that. Chagua CD. Save changes. Zima komputer, iiwashe tena. Kama namna gani tushtuane.

  Matokeo yanaweza kutofautiana. Ushauri huu sio wa kitaalam. Chochote kinakachotea hakitatwika majukumu kutokana na tegemezi la ushauri huu, ikiwa ni pamoja na kuungua kwa mashine yako.

  Natakutania mjomba, utanipata wapi maisha haya, twende kazini kaka!
   
 13. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ok I made it in.

  Kwenye Boot section kuna 4 options:
  1) Optical Drive
  2) Floppy disk Drive
  3) Hard Disk Drive
  4) Network.

  Which one to pick?
   
 14. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Optical drive

  Sikia Mkuu, huna haja ya kuzima laptop ku buti upya.
   
 15. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh nimefanya yote hayo lakini bado inagoma.

  Itabidi niipeleke kwa fundi akaicheki.

  Ahsante kwa kujaribu kunisaidia Kuhani
   
Loading...