Msaada naomba: Naweza vipi hamisha Operating System (Windows10) kwenda harddrive nyingine?

TheMirror

Member
Aug 19, 2018
25
39
Habari zenu!
Wataalam wa IT kina Chief-Mkwawa na wadau wengine naombeni msaada. Nina laptop yangu imekuja na operating system yake na baadhi ya programs ila harddrive yake ni ndogo sana.
Sasa nataka nitafute harddrive nyingine ambayo ni kubwa ili nihamishie hiyo window. Sitaki ku-install upya. Hiyo hiyo OS na apps zake iingine ktk harddisk mpya.
 
Ni rahisi kama una wire wa SATA kwenda USB.

Kisha install software inaitwa AOMEI partition Assistant Standard.

Halafu kwenye upande wa kushoto bonyeza Migrate OS to SSD, japokuwa hapo imeandikwa SSD ila pia inatumika kwa HDD.

Chagua disk yako

Halafu bonyeza Apply then utakuwa umemaliza kuhamisha OS kwenda kwenye disk mpya.
 
Habari zenu!
Wataalam wa IT naombeni msaada. Nina laptop yangu imekuja na operating system yake na baadhi ya programs ila harddrive yake ni ndogo sana.
Sasa nataka nitafute harddrive nyingine ambayo ni kubwa ili nihamishie hiyo window. Sitaki ku-install upya. Hiyo hiyo na apps zake iingine ktk harddisk mpya.
Asanteni.

Kama unataka kuhamisha kwaajili ya computer hiyo hiyo, basi kuna kitu kinaitwa HDD CLONING au COMPUTER IMAGE.. sasa ingia youtube na utafute namna ya kutengeneza image ya computer kwa kwa kutumia ACRONIS TRUE IMAGE. Hiyo ndio software rahisi kabisa ya kutengeneza image na ukaitumia baadae kwenye computer hiyo hiyo.
 
Ndio, computer ni hiyo hiyo.
Ok. Shukrani.
 
Ndio, computer ni hiyo hiyo.
Ok. Shukrani.
Kama utahita Image ya ACRONIS TRUE IMAGE Cd, naweza kukupa link hapa ya kupata ISO file yake ambayo utaiBURN kwenye CD kabla ya kuitumia. Image yenyewe ina takribani 55MB
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom