Uuuwiii nisaidieni mwenzenu nafaa

Uuuwiii nisaidieni mwenzenu nafaa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1555462_708341319189559_1121138268_n.jpg
 
Chaja ya ukweli!!! Kuna mmoja alipata details za kimada wa mumewe na akawafumania siku moja. Waliporudi nyumbani akawa hasemi kitu tena ndiyo kwanza anaongea na mumewe kama vile hakuna kilichotokea. Basi akavizia mume kalala akachukua maji ya moto akamwagia kifimbo!!! Walahi jamaa alizindukia hospitali na mashine ni mufilisi hadi leo. Mama alisema tukose wote na kuanzia siku ile akapata bwana nje na mwishowe alimwacha mwanaume yule na kilema chake na mwanamke hatakaa aguse tena maisha!!! Kipi bora, tuheshimu ndoa zetu au tuwe na nyumba ndogo na vidumu nje?? Kama hutakimbizwa na chaja kama hili au kumwagiwa maji ya moto basi kuna kubwa lao HIV?AIDS.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom