uuuwi! baridi ya Makete ni Kiboko!!

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
hapa ninaomba neema ya Mungu inisaidie! maana hii baridi si mchezo! niko na jaketi la leather lakini kabaridi naka-feel kweli kweli!

arusha, iringa, mafinga, njombe, kilimanjaro wanaweza wasiifikie hii baridi... vijana mliozoea Dsm tu, mkija huku mnalia...

MUNGU ATUSAIDIE... maana nimeingia hapa leo and i still have some few days za kuendelea kuwa hapa!
 
tafuta jacket la sufii mkuu, leather huwa inasharabu baridi mbaya....au hali ikiwa mbaya zaidi unaweza tafuta msaada wa 36 °C kama Adam
 
tafuta jacket la sufii mkuu, leather huwa inasharabu baridi mbaya....au hali ikiwa mbaya zaidi unaweza tafuta msaada wa 36 °C kama Adam

shukranh kaka! ila mida hii ntapata wapi? by the way nimeongeza masai shuka lakini bado.. mikononi nna gloves
 
Tafuta blanketi chapa mtu!

Yaani asisubutu! Kama unamtakia hilo jacket analodai kavaa mwakani liwe kanzu kwake ajaribu!
Hiyo Makete Babaake ndy district inayolead Tz kwa wakazi wake kupoteza CD4 !
 
Dogo komaa aisee
Mi nilishawahi kuishi huko hadi LUPILA kama unapasikia ni noma!
Mwaka jana nilikuja mitaa ya Njombe ilikuwa Nov ila sikuvua jacket hata mara moja..sasa kwa sasa naamini hali ni mbaya sana hapo!
Pole sana aisee lol
Vaa manguo ya kutosha ila usiguse ile kitu utaumia!
Ndeeeeeti
 
duh ndugu yangu na wewe unatembea, asubuhi nimeanzia lupila na mbalatse kisha nikapita ikonda, then ndio nikaingia makete
 
Mkuu hata mimi naingia huko jpili kama tunaweza kushare ideas..niandalie kabisa mahali pa kushukia.. nakuja maeneo Ikonda na Iwawa..
 
Back
Top Bottom