KIBURUDISHO JF-Expert Member Mar 28, 2011 1,002 274 Feb 9, 2012 #1 Kumbe hata kwetu wapo!!!!! Namba ya usajili S2811 VISIGA SEC SCHOOL D1=0 D2=0 D3=2 D4=32 F=58. Hizi ndizo shule zetu za kata mnazozitumia kujipatia kura.
Kumbe hata kwetu wapo!!!!! Namba ya usajili S2811 VISIGA SEC SCHOOL D1=0 D2=0 D3=2 D4=32 F=58. Hizi ndizo shule zetu za kata mnazozitumia kujipatia kura.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Feb 9, 2012 #2 hahahahahahahahahahaha aseeee ndo mana njomba hakuna kitu kazi kulazmisha phd
Dr.Chichi JF-Expert Member Apr 30, 2008 2,394 631 Feb 9, 2012 #4 he he he kweli walimu watakuwa kwenye mgomo baridi
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,607 52,334 Feb 10, 2012 #5 Shule haina hata vyoo. hata hao wamejitahidi.