Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Imenibidi nije na UZI huu kutokana na saikolojia ya wanawake wengi pindi watongozwapo na wanaume na kuanza uhusiano nao,wengi hudhani kuwa sasa ni mwanzo wa maisha yao kubadilika kiuchumi,mwanzo wa mahusiano anaweza ukahisi umepata mwanamke sahihi,baada ya muda anaanza MIZINGA mara naomba PESA ya kula,naomba PESA ya salon,naomba PESA ya kulipia kodi ya chumba nk.Hivi ulivyokubali kirahisi KUMBE ulikuwa na lengo la kumfanya mwanaume kuwa ATM,uchote pesa kadiri utakavyo..? Pia utakuta mwanamke ana kibarua chake ila anajitoa ufahamu na kuona PESA hazifai kutumia kwa matumizi yake zaidi ya kuomba kwa wanaume,nasema wanaume wengi wameanza kushtuka na USANII wenu..Hata kama mwanaume ni KICHWA cha familia/mahusiano ila NJAA zenu zimezidi kwa baadhi ya wanawake..!@! Kama UTAMU mwapata wote ya nini kupeana STRESS za kijinga kijinga..???