Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa mmoja alikuawa akinielezea kuhusu hilo tatizo anasema kwamba inakuwa inasinya inakuwa ndogo je anawe kifanyaje ili tatizo hilo limwondoke?
Ha ha ha haaah!! who Cares? Sumbawanga hakuna uchawi wa hivi labda pwani.Pole kaka kwa maradhi...
Hivi hujagonga demu wa mtu kweli ukarogwa wewe??...huo ni uchawi wa sumbawanga tafadhali chukua hatua za kijadi.... JUST KIDDING ... ila huwa yanatokea kwa mambo ya kiswahili na hasa ukiwa chapachapa wa wake za watu.
Hivi wa ndugu na omben dawa ya ngir kwan inanisumbua ina fanya nic perfom wel
jamani yuko bingwa wa magonjwa ya aina hii hapa jukwaani?
hivi kumbe kuna kiwango kilichoshauriwa......we mkali1.fanya mazoezi ya kegal
2.kula vyakula vyenye zinc kwa wingi
3.fanya mazoezi ya mwili kama mwili wako ulivyo
4kunywa chai ya tangawizi,
5. Kama nimfanysji wa ngono sana punguza unywaji wa pombe
6.kama unafanya punyeto fanya kwa kiwango kilichoshauriwa
n.b ukiwa na mboo kubwa lazima uwe na pumbu kubwa kwahiyo usishtuke