Uume kusinyaa

dalili za kuwa joka la kibisa hizo....aje tumpe mbinu za medani kulaleki nishapiga valeur zangu mimi ..kulaleki mama gaude ni kujishikilia kwenye tendegu la kitatnda tu macho mekundu kama nyanyaa...staki dharau kabisa mimi kwenye mambo ya msingi yaliyonileta duniani

hahahah, nimecheka hadi machozi...sio mzima wewe...haha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
dalili za kuwa joka la kibisa hizo....aje tumpe mbinu za medani kulaleki nishapiga valeur zangu mimi ..kulaleki mama gaude ni kujishikilia kwenye tendegu la kitatnda tu macho mekundu kama nyanyaa...staki dharau kabisa mimi kwenye mambo ya msingi yaliyonileta duniani

heheh mzazi umitishaaaaaaaaaaaa
 
dalili za kuwa joka la kibisa hizo....aje tumpe mbinu za medani kulaleki nishapiga valeur zangu mimi ..kulaleki mama gaude ni kujishikilia kwenye tendegu la kitatnda tu macho mekundu kama nyanyaa...staki dharau kabisa mimi kwenye mambo ya msingi yaliyonileta duniani

Sasa mkuu hiyo itakuwa starehe au KIKAZI zaid...
 
bao mbili kwa usiku mmoja si mchezo huyo sasa atakuwa ni malaya na si mke, kama anadai hatosheki kaka ujue unaibiwa hata ukila samaki haitosaidia kwani mwanamke anaweza akatosheka hata kwa bao moja tu! inachotakiwa ni kumfikisha climax! mwanamke unatakiwa umuandae mpaka aanze kutoa majimaji na ili ukianza hakawii kukojoa na hapo kama atasema hatosheki basi achana naye.
 
Kunywa maji hai ama biowater utashangaa mwenyewe. Hata ingekuwa hata hizo mbili huwezi ungeanza. nunua bio disc kutoka kampuni ya qnet. Nitafute kwa private mail.
UNIQUE

Lipia matangazo mkono mtu haulambwi
 
Kwa mke bao mbili per night is more than enough,hata Mungu anaonya juu ya kuwa wa kiasi.
 
Kigogo,

loh, umenichekesha jamani mmh yaani nimecheka,
mpaka naisi kulia, sijui kama ni ya kweli hayo..
 
Tatizo ushajiwekea kuwa unasinyaa cha pili tu!!!uwa hilo tatizo kwa kusema yes i can do it!! Utapiga hadi kumi ukiamua tu!!
 
dalili za kuwa joka la kibisa hizo....aje tumpe mbinu za medani kulaleki nishapiga valeur zangu mimi ..kulaleki mama gaude ni kujishikilia kwenye tendegu la kitatnda tu macho mekundu kama nyanyaa...staki dharau kabisa mimi kwenye mambo ya msingi yaliyonileta duniani

we bro acha hizo mbona unakuwa mkali kiasi hicho mpaka mbavu zinauma kumbe unategemea valuer basi ngoja utakapo kuwa la kibisa wewe kweli inamaana wewe umekuja duniani kwa ngono
 
Acha ubishi yakukute tuone kama utakuwa mbishi. Le hao samaki na asali aone halafu aje kwa haya maji aone !
Unique
 
msaada tatizo la uume kusinyaa na kuwa mfupi yaani kama unaingia ndani na mgumu ukiambatana na maumivu makali kuanzia mgongo mpaka kiuno. Msaada wa mawazo na tiba. Je hizi ni dalili ugonjwa gani. Hospital nimekuwa napewa dawa bila mafanikio. Sina maambukizi ya ugonjwa wowote wa zinaa.
 
Pole mkuu inawezekana ikawa ngiri kama mdau hapo juu anavyosema!!

•heri wasemao ukweli maana mwingine angesema rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kusinyaa uume.
 
Kacheck hernia kaka coz nayenyewe inakuwaga na dalili kama hizo,pole utapona.
 
ndugu yangu mda mwingine inatokana na mazingira hasa sehemu zenye baridi jaribu kubaridirisha mazingira
 
Pole kaka kwa maradhi...

Hivi hujagonga demu wa mtu kweli ukarogwa wewe??...huo ni uchawi wa sumbawanga tafadhali chukua hatua za kijadi.... JUST KIDDING ... ila huwa yanatokea kwa mambo ya kiswahili na hasa ukiwa chapachapa wa wake za watu.
 
Kaka usiumie sana kwa tatizo kama hilo. Kama umeshapata dawa hospitalini na hazikusaidia pole sana kwani utakuwa unasongwa na mawazo mengi sana. Dawa za mahospitalini siyo zote zinzfanya kazi barabara. Vile vile wengi wanaotumia dawa za hospitalini hujiamini wametatua tatizo kumbe kuna matatizo mengine huzalishwa kutokana na zile walizotumia. niandikie kwa email ishealthy@hotmail.com kwa msaada zaidi wa kiafya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom