TALL WA MTAA
Member
- May 10, 2022
- 31
- 70
Inabidi ukae wiki 4 au 3 usifanye tendoKwahyo wakat nafanya hayayote ctakiwi kufanya sex Kama ninamke
Kwa ushauri nasaha maana akili yako tayari imeshaharibika, naomba mtafute Dr Chris ?Mauki atakusaidia, namwona Instagram na youtube
Hauna shida kwenye uuume shida iko Kwa mindset yako, ukichange mindset uume utasimama
Ubarikiwe mpaka ushangae na Mungu anakupenda na kukuwazia mema
Kiongozi zinatib tatzo linaisha ama ni kubust wakakat wa kutaka kusex2
The only way hilo tatizo litaisha ni kwa kuacha nyeto.Kiongozi zinatib tatzo linaisha ama ni kubust wakakat wa kutaka kusex2
si unataka ushauri wa nguvu za kiume, nenda kwa msaikolojiaWanawake bhana β¦β¦.. Sasa Mauki na mambo ya nguvu za kiume wapi ma wapi ?
ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!
Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.
Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.
Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.
Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
"...Mmojawapo ni mimi..." [emoji23][emoji23]Ukosefu wa nguvu za kiume ni more of psychological. Itibu fikra yako na ujiamini kwamba uko sawa. Ukijiwekea akilini kwamba una tatizo ndio unaongeza tatizo.
Wapo wanaopiga nyeto huu mwaka wa 20 na show wanapiga kama kawa. Mmojawapo ni mimi.
JF wengi wanapiga nyeto au nasema UONGO Kapeace Mamndenyi Dream Queen To yeye Leejay49 FaizaFoxyUkosefu wa nguvu za kiume ni more of psychological. Itibu fikra yako na ujiamini kwamba uko sawa. Ukijiwekea akilini kwamba una tatizo ndio unaongeza tatizo.
Wapo wanaopiga nyeto huu mwaka wa 20 na show wanapiga kama kawa. Mmojawapo ni mimi.
Kisimi kishawakaa π
Kwa hio tunakifanyaje hapo sasaKisimi kishawakaa π
π€£π€£π€£ Tulia wewe π€Kwa hio tunakifanyaje hapo sasa
Inabidi tukifanye kitu kitu kiache kuwaka π₯΄π€£π€£π€£ Tulia wewe π€
Nafanya mwenyewe πInabidi tukifanye kitu kitu kiache kuwaka π₯΄
Aaha hutaki nikufanyieNafanya mwenyewe π
Jamani πππππππ
JF watu wanapandisha bendera sio mchezoJamani πππππππ
Yani hadi sio poa πππππJF watu wanapandisha bendera sio mchezo