Ukiweza kuacha punyeto kwa mwaka mmoja uume wako utarudi katika hali yake na ule usugu wa ngozi yake kutokana kusuguliwa kila siku na mikono utaisha..!ACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!
Habari ya asubuhi wakuu, naombeni msaada pia mtanisamehe kwa uandishi wangu.
Ipo hivi...... Mwaka 2014 nilibahatika kufanya mapenzi mara moja tu baada ya hapo nikawa mpiga nyeto hadi sasa!
Yaani toka 2014 hadi April 2023 mwaka huu nilikuwa napiga punyeto tu.
Sasa usiku wa kuamkia leo WEDNESDAY, 12 APRIL 2023, kwa mara pili tena nilibahatika kupata mbususu demu ni Bikira shida imeanzia pale nilipotaka kuingiza, kichakatio kimesimama legelege sana nikikandamiza hakiingii kinajiKunjaKunja tu.
Nimekuja kwenu wakuu mnisaidie ili niweze kuondokana na hili tatizo (kama kuna dawa za uhakika naomba mnielekeza), sijaja kufurahisha/kuchangamsha genge.
Nipo HAI, KILIMANJARO.
Asante kwa ushauri mkuuUkiweza kuacha punyeto kwa mwaka mmoja uume wako utarudi katika hali yake na ule usugu wa ngozi yake kutokana kusuguliwa kila siku na mikono utaisha..!
Changamoto uliyonayo kwa sasa sio uume kuwa dhaifu bali ni KUACHA PUNYETO!
kipindi hicho niko drs la 7 nilikuwa domozege hadi sasa, kwanza huyu nimempata kama bahati tu, bila hivyo ningeendelea na nyetoYan miaka yote hiyo hukuwahi kutana hata na zile pisi za kiepe yai shika mkono mpk loji?
Una tatizo gani?
nielekeze hizo dawa za mitishamba mkuuJambo la Kwanza achana na punyeto. Kitu Cha pili zingatia ulaji wa vyakula vyenye lishe, tatu kuwa mtu wa kufanya mazoezi, la mwisho tafuta utulivu wa akili kabla ya kufanya tendo na baada ya tendo pia. Mabadiliko utayaona pasipo kunywa dawa. Japo kuna dawa za miti shamba zenye virutubisho na kuongeza hali ya uwajibikaji zaidi
Mazoezi ya KEGEL ndo yapi hayo mkuu?Pole mkuu, anza kufanya mazoezi ya Kegel na uache punyeto. Wazo langu hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
MUONGO MUONGO MUONGO MUONGO MUONGOMkuu sijaja kuchangamsha genge hapa nahitaji kuSolve hili tatizo.
Pole sana mkuu hiyo ni serious condition wataalamu watakupa msaadaACHA PUNYETO INAMADHARA, MI YAMENIKUTA!