Utunzaji wa fedha

Utunzaji wa fedha

Rosati

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
104
Reaction score
69
Habari wakuu, nimekua nikijiuliza sana kwanini utunzaji wa hela za kitanzania hasa hela za noti ni tofauti na hela zingine za kigeni mfano Dola ya Marekani.

Tangu naifahamu dola na kuitumia kwa mara chache nimekua nikisikia kauli kua Dola haifai kukunjwa kama vile tunavyokunja noti ya Elfu 10 ya kitanzania au ya nchi yeyote ya Africa Mashariki.

Naomba mwenye ufahamu anisaidie, ni kwanini noti ya Dola ya Marekani haikunjwi (hairuhusiwi kua na mistari ya mikunjo) kama jinsi ilivyo kwa fedha za Africa Mashariki.
 
Noti yoyote ili idumu ni usiikunje huwa wanadai dollar haikunjwi sababu TZ haitumiki moja moja kwa mzunguuko itabidi ukaibadilishe bank. Hivyo wengi tunakua na wasiwasi wa kuitunza ili kuepuka usumbufu imagine 100$ ikataliwe kisa ni mbovu. Au ulishawahi kwenda na noti mbovu dukani unavyokua na wasiwasi.

NB: Dollar inakunjwa sana uliza wadau wa utalii, pale unapofinyiwa (kupewa tip) na mgeni halafu hutaki crew ijue. Kitu kinakunjwa halafu kinakaa kwenye socks.​
 
Kukunjwa my foot?

Kwenye Movie ushawai kuona kuna Seen Dollar inachanwa mtu anapewa nusu then anaambiwa ukikamilisha Deal nakupa nusu.
 
Ni kweli mimi nilizungushwa na Euro yangu mwsho wa sku nkaambiwa niende posta NMB house...ndo wakaipokea
 
Habari wakuu, nimekua nikijiuliza sana kwanini utunzaji wa hela za kitanzania hasa hela za noti ni tofauti na hela zingine za kigeni mfano Dola ya Marekani.

Tangu naifahamu dola na kuitumia kwa mara chache nimekua nikisikia kauli kua Dola haifai kukunjwa kama vile tunavyokunja noti ya Elfu 10 ya kitanzania au ya nchi yeyote ya Africa Mashariki.

Naomba mwenye ufahamu anisaidie, ni kwanini noti ya Dola ya Marekani haikunjwi (hairuhusiwi kua na mistari ya mikunjo) kama jinsi ilivyo kwa fedha za Africa Mashariki.
Aisee..!!
 
Noti yoyote ili idumu ni usiikunje huwa wanadai dollar haikunjwi sababu TZ haitumiki moja moja kwa mzunguuko itabidi ukaibadilishe bank. Hivyo wengi tunakua na wasiwasi wa kuitunza ili kuepuka usumbufu imagine 100$ ikataliwe kisa ni mbovu. Au ulishawahi kwenda na noti mbovu dukani unavyokua na wasiwasi.

NB: Dollar inakunjwa sana uliza wadau wa utalii, pale unapofinyiwa (kupewa tip) na mgeni halafu hutaki crew ijue. Kitu kinakunjwa halafu kinakaa kwenye socks.​
[emoji23][emoji23] yaani 100$ ikataliwe na bank, dah.
Kumbe tatizo ni kwamba mzunguko wa Dola hapa bongo ni mdogo ndio maana haikunjwi
 
Back
Top Bottom