Utundu wa protecting copying and paste

Utundu wa protecting copying and paste

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Wadau ​Naombeni utundu wa kuzuia copying data kwenye pdf na kwenye blog
 
Mkuu unaweza kujielezea vizuri tuweze kukusaidia?
Mbona issues iko clear, yaani naombeni msaada wa program/software ambayo baada ya kufanya kazi zako kwenye blog au hata document ya PDF unaweza kumzuia mtu asiweze ku copy chochote.
Hope understood men!
 
Mbona issues iko clear, yaani naombeni msaada wa program/software ambayo baada ya kufanya kazi zako kwenye blog au hata document ya PDF unaweza kumzuia mtu asiweze ku copy chochote.
Hope understood men!

unachojaribu kufanya hakiwezekani lakini jaribu kutumia hii njia.


tumia java script

watu wengi wanatumia njia ya kudisable right click menu ili mtu asiweze kuselect na kukopi lakini hii njia sio nzuri na haiwezi kufanya kazi kama javascript iko disabled.

njia nnayokushauri mimi ni kuweka watermarks ​kwenye document zako.
 
Nadhan Mkuu Atakua Amechoka Na Ku Kopiana Habari Na ma bloggers wengne!! Maana Ni Kero sana
 
Wadau ​Naombeni utundu wa kuzuia copying data kwenye pdf na kwenye blog

kama hutaki watu wakopi vitu kwenye blog yako kwa kuzuia kucopy and paste inawezekana kwa njia aliyosema Nyasiro ila njia za kukopi ziko nyingi zingine ni remote, mtu anatumia script inayoweza kufetch taarifa anazotaka kutoka kwenye blog yako bila wewe kujua

kama unatumia blogger fanya hivi...

1) Log in to Blogger dashboard --> Layout --> Page Elements
2) Click on 'Add a Gadget' on the sidebar
3) Select 'HTML/Javascript' and add the code given below and click save.
Code:
<script language="JavaScript"><!--
 
//<span id="IL_AD1" class="IL_AD">Disable</span> right click script
//code imeandikwa http://www.joenyandigira.com
 
var message="";
///////////////////////////////////
function clickIE() {if (document.all) {(message);return false;}}
function clickNS(e) {if
(document.layers||(document.getElementById&&!document.all)) {
if (e.which==2||e.which==3) {(message);return false;}}}
if (document.layers)
{document.captureEvents(Event.MOUSEDOWN);document.onmousedown=clickNS;}
else{document.onmouseup=clickNS;document.oncontextmenu=clickIE;}
 
document.oncontextmenu=new Function("return false")
// -->

</script>
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom