Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,483
- 40,499
ha ha ha ha,hayo majani anayapeleka wapiAcha uongo mzee
Uhuni utaacha lini View attachment 1397239View attachment 1397240
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mwingi nakuwa safariUmewezaje wezaje kuchepuka bila mkeo kukushtukia mkuu???
Ladha mkuu,namba 1,namba 6,namba 8 n.kKwanini uchepuke sasa!!!
Kama uonyeshi mabadiliko yoyote katika kuhudumia,ni vigumu yeye kukufuatiliaKuchepuka inahitaji elimu ya hali juu
Duuhh kwiayo ukiwa home , unawapiga mkwara??Muda mwingi nakuwa safari
Kuna mwaka fulani nilitoka na mchepuko mmoja, baada ya kufika home jogoo asimami....hapo ilibidi niwe mkweliInawezekana mkeo anajua yote ameamua Tu kupotezea..
Au ana cheat kisayansi kuliko wewe anaku enjoy tu..
Au bahati Tu huna ujanja wowote uliokusaidia..
Mambo ya ndoa Yana mambo mengi sana..
ha ha ha Kinga muhimu mkuu,naweka laini offDuuhh kwiayo ukiwa home , unawapiga mkwara??
Unatumiaga kondom lkn
NakaziaInawezekana mkeo anajua yote ameamua Tu kupotezea..
Au ana cheat kisayansi kuliko wewe anaku enjoy tu..
Au bahati Tu huna ujanja wowote uliokusaidia..
Mambo ya ndoa Yana mambo mengi sana..
ha ha ha haUchepukaji ni sanaa sio sayansi ukiendekeza sayansi utakamatwa sayansi huwa ina tabia ya Ku prove hypothesis
Akikupa siri ya mafanikio yake naomba nitagUmewezaje wezaje kuchepuka bila mkeo kukushtukia mkuu???
Usimlaumu mtoa mada ni kasumba yetu inborn trait .. Kama Solomon alikuwa na michepuko 600 ndo ujue ni kawaida yetuKwanini uchepuke sasa!!!