utundu mpya

je unahtaji kupata free dstv channels kupitia zukudish,au c band dish?

Au unahtaji kupata free internet...thru code flan flan kweny browser yako?...

Mbona umeuliza maswali badala ya kutoa hizo mbinu? jifunze basi jinsi ya kutuma hizo thread umeanza kuuliza maswali badala ya kutoa solution
 
mimi natumia lile la mchina...startime nadhani nayo yawezekana!!
Mwaga basi hayo matundu humu jamvini au fanya kwa pm ila kama lengo ni biashara ama mambo ya kuombana voucher kama yule nanii upati mtu humu mkuu
!!!!!!!
Krapka Davinoooooooooooooooo
 
We dogo ebu funguka basi tukariri hiyo mistari....!!!
Au ndo yale ya kuwajambisha wenye Mabusha teh teh teeeh.......!!!!
 
sitaki.
icon13.png

wizi dhambi.

Hakuna anayekwiba hapa bali ukisikia maufundi ndiyo kama haya au wataka siku zote tubaki vilaza?
Ebu kuwa clear unataka kutuambia kuwa bakhressa naye amekwiba kwa kuanzisha Azam cola&Azam malt?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom