Ubunifu uliotumika hapo ni wa kuunga-unga picha tu!hilo gari si TOYOTA bali ni ATOYOT! Na plate number inasomeka mbele-nyuma,na huyo mtoto alipandaje hapo?
Na waliopiga picha na kuisambaza. Huyo mtoto hana muscle wala akili za kushikilia hapo hadi gari imfikishe jamaa kazini. Angeachia bila kujijua au kujua ni hatari.