Utundu kama huu

Dogo wa mkoani huyo,angekua wa dar "nimonia" haimuachi salama.
 
Ubunifu uliotumika hapo ni wa kuunga-unga picha tu!hilo gari si TOYOTA bali ni ATOYOT! Na plate number inasomeka mbele-nyuma,na huyo mtoto alipandaje hapo?
Kweli kabisa
 
Hizi threads zingine zinatungwa ili kuliwa bundle zetu tu. Hakuna uhalisia. Mtoto huyu hawezi kupanda hapo peke yake.
Kuna mengi kwenye hiyo picha angalia vizuri
 
Huyu ni Kirikou mtoto a kichawi. Mtoto gani ana nguvu ya kushikilia na kukaa hapo Toka nyumbani hadi mjini? Halafu barabara nzima dereva alikutana Na mwendesha pikipiki tu!!!!
Mshana Jr kaleta Uzi huu ili tuwe makini kabla hatujaondoa gari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo plate namba ya hiyo gari same time yale magari ya wasiojulikana huwa wanazifunga yaani ukikutana nalo kwa wasiojua utasema aaa hili gari la ubalozi fulani[emoji144] [emoji144]
Halafu wamegeuza maandishi ya make it ya gari mpaka yanasomeka ATOYO
 
Ubunifu uliotumika hapo ni wa kuunga-unga picha tu!hilo gari si TOYOTA bali ni ATOYOT! Na plate number inasomeka mbele-nyuma,na huyo mtoto alipandaje hapo?
Chukua simu yako weka camera, kisha inua mkono wa kushoto, jipige selfie then twambie kwenye picha unaona umeinua mkono gani??
 
Hizi threads zingine zinatungwa ili kuliwa bundle zetu tu. Hakuna uhalisia. Mtoto huyu hawezi kupanda hapo peke yake.
Nadhani umesahau kwamba jamaa anatumia fasihi ya picha kufikisha ujumbe,

Jamaa akiweka picha ama thread ifuatilie au isome ukiwa umetulia ukikurupuka lazima utoke kapa
Kuna ujumbe mzito sana umefichwa endelea kuitazama hiyo picha kwa makini kisha unganisha dots utapata kitu
 
Ubunifu uliotumika hapo ni wa kuunga-unga picha tu!hilo gari si TOYOTA bali ni ATOYOT! Na plate number inasomeka mbele-nyuma,na huyo mtoto alipandaje hapo?
Mbona number plate zinasomeka kinyume
Ukilinganisha na gari ukiipiga picha inasomeka kawaida?
Mpaka jina la gari duu
Camera ya mbele ndo imetumika ndiyo maana inasomeka kinyume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…