Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
Walifanya Ila si kwa kiasi ambacho propaganda za ulimwengu zinatuaminisha! Kwa nini katika biashara ya utumwa huwa anaonekana hasa mtuhumiwa mmoja yaani mwarabu na sio mataifa mengine? Huoni kuwa syllabus zet huwa zinatuingiza chakaUkimaanisha waarabu hawakufanya biashara ya utumwa? Ama?
Watu weupe (waarabu na wazungu) wametushika pabaya sana wabantu… kuchomoka hapa majaaliwa ya Mwenyezi MunguWalifanya Ila si kwa kiasi ambacho propaganda za ulimwengu zinatuaminisha! Kwa nini katika biashara ya utumwa huwa anaonekana hasa mtuhumiwa mmoja yaani mwarabu na sio mataifa mengine? Huoni kuwa syllabus zet huwa zinatuingiza chaka
Wroooong!Hakuna mtu aliyeng'ang'ania kuwa ni Waarabu tu ndiyo walifanya biashara ya watumwa,uelewe.Swali ni kwa nini watu wa asili ya Afrika/watumwa hii leo wapo kwa idadi ndogo Uarabuni/Asia?Walifanya Ila si kwa kiasi ambacho propaganda za ulimwengu zinatuaminisha! Kwa nini katika biashara ya utumwa huwa anaonekana hasa mtuhumiwa mmoja yaani mwarabu na sio mataifa mengine? Huoni kuwa syllabus zet huwa zinatuingiza chaka
Na kwa kuwa hatuwezi kufikiri nje ya box ni shidaWatu weupe (waarabu na wazungu) wametushika pabaya sana wabantu… kuchomoka hapa majaaliwa ya Mwenyezi Mungu
No nani anakuwa acused Sana kwenye hii biashara ya utumwa mashuleni na kwenye media nyingi kama sio mwarabu? Tuanzie hapo kwanzaWroooong!Hakuna mtu aliyeng'ang'ania kuwa ni Waarabu tu ndiyo walifanya biashara ya watumwa,uelewe.Swali ni kwa nini watu wa asili ya Afrika/watumwa hii leo wapo kwa idadi ndogo Uarabuni/Asia?
Ilitakiwa mda huu tuwatandike bakora (waarabu kwa wazungu )watulipe na fidia kwa madhila waliyotufanyia wabantu lakini kutwa nyuzi za kuwateteaWroooong!Hakuna mtu aliyeng'ang'ania kuwa ni Waarabu tu ndiyo walifanya biashara ya watumwa,uelewe.Swali ni kwa nini watu wa asili ya Afrika/watumwa hii leo wapo kwa idadi ndogo Uarabuni/Asia?
Tofauti na Al Jazeera ni kituo kipi kingine huwa unaangali.Wroooong!Hakuna mtu aliyeng'ang'ania kuwa ni Waarabu tu ndiyo walifanya biashara ya watumwa,uelewe.Swali ni kwa nini watu wa asili ya Afrika/watumwa hii leo wapo kwa idadi ndogo Uarabuni/Asia?
Hao si waarabu ni wazungu, angalia vizuri .
Ndiyo ujiulize sasa,arabun walikuwa wakishafikishwa wanahasiwa {wanagongwa kende ili pump zisiinuke wakiogopa kuwa watazaa na wanawake zao vizazi vyao viharibike} that's why hata leo ukionekana wewe mwenye rangi ya nyani unataka kuanzisha uhusiano na mtoto wa kiarabu basi lazima viungo vyako wavigawanye.Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Mkuu wewe ni kitukuu cha waarabu/wazungu ama wabantu? Ili nielewe jinsi ya kukijibu bila kukukera…No nani anakuwa acused Sana kwenye hii biashara ya utumwa mashuleni na kwenye media nyingi kama sio mwarabu? Tuanzie hapo kwanza
Sikiwahi kukutana na hilo.Kwa kadiri nilivyopata darasani halafu baadaye nikaongeza na za kwangu ndipo nina muono kama ninaokupa.Halafu,kwa nini uukazanie uongo wa watu na usitafute ukweli?No nani anakuwa acused Sana kwenye hii biashara ya utumwa mashuleni na kwenye media nyingi kama sio mwarabu? Tuanzie hapo kwanza
Mkuu wewe ni kitukuu cha waarabu/wazungu ama wabantu? Ili nielewe jinsi ya kukijibu bila kukukera…
Ukweli ni kwamba wabantu tuliuzwa kama nyanya na watu weupe (wazungu na waarabu).. Ushahidi upo kila sehemu point yako sijui ni nnHuwa napenda ukweli haimaanishi unamgusa Nani
Kwa mfano mimi ,hapo sijautetea upande wowote kuwa haukufanya biashara dhalili ya watumwa.Kwa kiasi gani na upande upi ulitwaa watumwa wengi kutoka Afrika:Ilitegemea na uwezo wa fedha,uhitaji kiasi gani,vyombo vya kuwabebea,uimara na uwezo kiujazo.Ilitakiwa mda huu tuwatandike bakora (waarabu kwa wazungu )watulipe na fidia kwa madhila waliyotufanyia wabantu lakini kutwa nyuzi za kuwatetea
Nilikuwa namjib mtoa mada mkuuKwa mfano mimi ,hapo sijautetea upande wowote kuwa haukufanya biashara dhalili ya watumwa.Kwa kiasi gani na upande upi ulitwaa watumwa wengi kutoka Afrika:Ilitegemea na uwezo wa fedha,uhitaji kiasi gani,vyombo vya kuwabebea,uimara.na uwezo kiujazo.
Bado nalitafakari swali lako kama linanipasa kujibu kwa kadiri ya mjadala na namna niliposimamia.Tofauti na Al Jazeera ni kituo kipi kingine huwa unaangali.
Sikiwahi kukutana na hilo.Kwa kadiri nilivyopata darasani halafu baadaye nikaongeza na za kwangu ndipo nina muono kama ninaokupa.Halafu,kwa nini uukazanie uongo wa watu na usitafute ukweli?
Na hapo ndo penye shida. Watu hawapendi ukweli mchungu kwa ndugu yake wa imani. [emoji16][emoji23][emoji1787]Watu weupe (waarabu na wazungu) wametushika pabaya sana wabantu… kuchomoka hapa majaaliwa ya Mwenyezi Mungu
Ukweli ni kwamba wabantu tuliuzwa kama nyanya na watu weupe (wazungu na waarabu).. Ushahidi upo kila sehemu point yako sijui ni nn