Utumwa wa Waarabu

Nina maana ya kutaka kujua kama u Mwarabu au lah...ila sijajustify kuwa wewe ni Mwarabu.

Tofautisha swali na maelezo. Question v/s Statement.
Kuniuliza mimi mwarabu una maana gani?
 
Nilichojifunza watu wanauelewa mdogo sana kuhusu Uislamu, na hata hivyo uelewa huo mdogo pia wameelewa kimakosa. Wengi wana chuki binafsi ambazo ukimuuliza ni kwanini hana majibu
Wengi wanachanganya matendo ya Waarabu na Uislamu, wengi ni mbumbumbu sana kisha hujifanya nao eti wanajua Uislamu mbali ya kuwa dini zao hawazijui asili yake
 
Baadhi wanatafuta nafasi ya kutukana Uislamu na Mtume wetu Mtukufu, aliyekuja kuutoa ulimwengu katoka giza la ujinga na upotevu.

Nitaweza kujadiliana na mtu iwapo atanijibu swali hili,:
anieleze kwa mujibu wa dini yake kwa ushahidi kutoka katika kitabu cha imani yake mtu akiibiwa anaipata vp haki yake mara baada ya kumjua aliyeiba na huyu aliyeiba ili kuondoa tabia ya wizi na kuleta amani katika jamii ansfanywaje?
 
Mzee Quran si ndio chanzo Cha kuaminika katika uislamu,nilete vifungu vya Quran ili kuthibitisha mambo ya ajabu ndani ya uislamu??? Sema su
 

1.Maalim kuna tofauti ya picha ya kwanza ya mtoa mada na uharo ulioweka hapa.

2.Sio kila mzungu alikuwa ni mkoloni wakoloni walikuwa hawana dini lakini walikuwa ni wazungu

3. Wamisionari ambao ndio picha ya mtoa mada walikuwa ni wakristo ambao walikuja kuwanasua waafrika mikononi mwa wakoloni wa kiarabu na wazungu.

4. Sio kila mzungu alikuwa anaeneza ukristo ni wamisionari tuu lakini hao wakoloni wengine wazungu walikuwa ni wafanyabiashara waliokuwa wanauziwa watumwa na waarabu ambao walikuwa wanawakusanya vijijini.

5. Waarabu wote walikuwa wanaeneza dini ya uislam. Hivyo huwezi kutenganisha dini yenu na kushamiri kwa biashara hiiharamu katika afrika mashariki. Pamoja na wakristo wamissionari kukomaa kuisitisha biashara hiyo, waarabu hawakuridhika mpaka leo, na wanaamini mwafrika bado ni mtumwa wake.Ndio maana akinadada wakienda kutafuta kazi za ndani huko wanateswa na kuuawa kama wanyama na washika dini hao.
 

Yote uliyoaandika hayana ukweli wowote, bali ni chuki tu dhidi ya waarabu na uislamu kwa ujumla. Tumeshawazoea na maneno yenu. Na wengi wao mnaopenda kuongelea haya mas'ala ni watu ambao hamuna kazi za kufanya, mtu anaejishughulisha wala hana time na huu upuuzi.
 

Ni vigumu sana kukuelewa hawa viumbe, maana walishamezeshwa uongo na mzungu kuwa waarabu walitesa babu zetu na kuletewa vipicha vya primary tena vilivyochorwa 😂😂 so, wasikuumize kichwa tumeshawazoea hawa watu na ndiyo maana viumbe wa namna hii kwendelea ni ndoto.
 
Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Umeisha wahi kujiuliza kwanini huko Amerika weusi wenye asili ya Amerika bado wapo lakini UARABUNI weusi waliopo huko ni wahamiaji wa hivi karibuni!?
 
Ktk nchi "Secular" kama yetu, kosa la jinai kama wizi pale mtuhumiwa anapopatikana na hatia ktk mahakama zetu, linaadhibiwa kwa kifungo jela na hiyo ndio adhabu inayotolewa ktk nchi iliyostaarabika.
 
laiti ungeangalia kombe la dunia 2018 RUSSIA ungetamb ua kuwa Waarabu weusi wapo kwa kupitia timu ya Taifa ya SAUDI ARABIA. 95% ni weusi

Tatizo hawatembei wakajionea hawa viumbe, nchi ya Oman kuna weusi kibao na wengiwao hawajui kiswahili. Kuna mji unaitwa salalah huko ndio wanapatikana weusi wengi sana na lugha yao rasmi ni kiarabu tu. Sasa anakuja mbongo hapa anaongea tu hata gulf countries hakuwahi kufika hata moja😂😂😂 hawa watu wa ajabu sana, ni wakuwaonea huruma masikini ya Mungu
 
Inaonekana hata ile mada ya historia darasa la tatu hukuelewa, vitangulizi vya ukolonini: Wamisionari, Wapelelezi, na Wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…