Asante kwa ushauri ila muda umekimbia maana siku iliyobaki ni kesho (Ijumaa) tu, kwa kua jumamosi ndio Interview yenyeweUsije ukaenda ukakuta jina halipo, kama hujioni tangazo la pili, maana yake wamefanya marekebisho hivyo hata ukienda hutafanya kwa sababu wasimamizi watakosa pa kukuweka na watakuwa hawajakuandalia examination number.
Ushauri wangu ni kwamba ukiamua kwenda wahi mapema hata siku nne kabla na udownload na kuprint matangazo yao yote uwaambie warekebishe.
Nb. Secretariet ya ajira ni Wasikivu sana, maana nakumbuka tulifanya written alafu oral ikaonekana baadhi ya watu walikuwa wanastahili kuitwa oral ila kimakosa hawakuitwa, waliwataarifu wakawaongeza kwenye orodha.
Ninaimani ni wasikivu na watakusikia
Wewe nenda,Asante kwa ushauri ila muda umekimbia maana siku iliyobaki ni kesho (Ijumaa) tu, kwa kua jumamosi ndio Interview yenyewe
Ushauri murua!Usije ukaenda ukakuta jina halipo, kama hujioni tangazo la pili, maana yake wamefanya marekebisho hivyo hata ukienda hutafanya kwa sababu wasimamizi watakosa pa kukuweka na watakuwa hawajakuandalia examination number.
Ushauri wangu ni kwamba ukiamua kwenda wahi mapema hata siku nne kabla na udownload na kuprint matangazo yao yote uwaambie warekebishe.
Nb. Secretariet ya ajira ni Wasikivu sana, maana nakumbuka tulifanya written alafu oral ikaonekana baadhi ya watu walikuwa wanastahili kuitwa oral ila kimakosa hawakuitwa, waliwataarifu wakawaongeza kwenye orodha.
Ninaimani ni wasikivu na watakusikia
Usiwavunje moyo wenzio waache wakajaribu bahati yao mkuuMshakatwa nyinyi, unacheza na bongo? Washawejwa ndugu tayar hapo,
Sasa kwa nini mlikosea mkuu, halafu basi mutie taarifa ya kuwafuta wale wa awali kiepusha usumbufuMKUU, BILA SHAKA UNAMAANISHA NAFASI ZA WATENDAJI KATA GRADE II (MANA NAONA UNAFICHA)
NI HV, TANGAZO LA KAZI LINATAKA WATU WALIOSOMA MANAGEMENT YA SERIKALI ZA MITAA (LG MANAGEMENT) PAMOJA NA SHERIA.
KILICHOTOKEA WAKASHORTLIST KIMAKOSA KUWAINGZA WATU WA HR, UTAWALA, SOCIALOGY, COM DVT ETC
HVYO IKABD UFANYKE MCHUJO WAKAPATKANA WATU 300
HVYO KM HUNA DEGREE YA LAW AU LOCAL GVT, LAZIMA UKATWE, NA HATA UKIENDA UTAKUTANA NA HYO HOJA, ILA KAMA UNA SIFA NENDA.
Nashukuru kwa bahati nzuri majina ya leo na la kwangu lipo na namba nimepewa, tunaomba kama kuna dondoo jamani mtusaidieMKUU, BILA SHAKA UNAMAANISHA NAFASI ZA WATENDAJI KATA GRADE II (MANA NAONA UNAFICHA)