My first interview na utumishi, my first job posting.
Ninachoweza kusema utumishi wako fair, I personally had no one to hold my hand nime fight mwenyewe mwanzo mwisho and here I am nime itwa kazini. Yes wana flaws za hapa na pale na pia maybe sometime watu wenye vimemo wana pita ila it shouldn't stop you/ us from trying time to time.
Muda wa Mungu ndio sahihi kila siku kila wakati basi amini ipo siku jina lako litakuepo pale kwenye website yao.
Baadhi humu wana nijua na tulikua nao kwenye usaili na hawaja fanikiwa kupata ila tuko pamoja naamini kuna milango mikubwa zaidi ya hii ina funguliwa mbele yako.