UTUMISHI: Trade Officer II written interview

UTUMISHI: Trade Officer II written interview

John Sins

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
25
Reaction score
24
Naomba kujuzwa jamani.Hivi imetokea vipi watu wamefanya written interview ya Trade officer II na wakati kwenye tangazo lao la kuitwa kwenye usaili walisema hakutakua na usaili wa mchujo bali oral moja kwa moja!!
 
Walewale mmeambiwa muwe mnasoma matangazo mara kwa mara
 
Hata ungekuwa unasoma matangazo usingeona. Waulize waliofanya wameona tangazo?
Jibu lao hawakuona ila walienda kufanya written interview ya promotion ndio wakakutana na trade officer. Kwa mantiki hii utumishi wamekosea.
Ni mara ngapi matangazo yanabadilishwa na watu wanajua.
Kwa akili ndogo tu ya kufikili watu 200 wafanye written watu 20
 
Hivi wewe ni mmojawapo nini kwani cha kujiuliza watu kama wamekwenda kufanya written interview hata kama wangekua watano inawakilisha kwamba taarifa zilifika kwa wakati husika labda wewe ndo hukupata na hao wengine siwezi semea labda wana sababu zao
 
ila haukua utaratibu mzuri zile documents mtu ana-download anakaa nazo kwenye simu au PC. Kama wanabadilisha tangazo wangeweka statement kwamba wamebadili ili kila mtu apate kujua
 
Back
Top Bottom