Utumishi siwaelewi

Mkuu kuna post za TRL utumishi naona telecommunications munahitajika wa kutosha
 
Ulicreate account na kujaza profile yako by at least 70% ? Kuna nafasi za telecom jana nimeziona
 
Jamani naomba kuuliza,nakumbuka yapata mwaka mmoja sasa tangu nijisajiri na kuitwa katika interview utumishi,sasa leo nimekutana na post nyingine ambayo inanihusu,nataka nitume je nianze na hatua gani ili kuweza kutuma tena,Je niandike tu barua na kutuma ana nianze kuscan vyeti na kugonga mhuri wa wakili upya,naombeni ushauri wenu
 
Mkuu aina haja ya kuattach document zako tena, unapaswa kuandika barua yako ya maombi zen attach tuma kwa maana taarifa zako zipo tayali kwenye database yao kwa iyo aina haja ya kuattach tena vyeti vyako
 
Ila nimekuja kukumbuka yakuwa sijavigongaga muhuri wa mwanasheria,Nilitaka niweke tena vyeti vyangu vikiwa nimegonga muhuri wa mwanasheria,je nifanyaje hapo
 
Hapo sawa mkuu sasa log in alafu nenda kwenye attachment sehemu imeandikwa delete, vifute alafu uanze tena kujaza mahali pale ambapo ulikuwa unajaza education back ground endelea kufanya ivyo kuanzia chuo adi o level
 
Mkuu aina haja ya kuattach document zako tena, unapaswa kuandika barua yako ya maombi zen attach tuma kwa maana taarifa zako zipo tayali kwenye database yao kwa iyo aina haja ya kuattach tena vyeti vyako
Ok,shukrani sana kwa ushauri wako,Je iyo barua naiadress kwa katibu wa sekratieti ya ajira ama kule walikotoa tangazo,mfano kama kazi imetangazwa na muhimbili hospital naomba unieleweshe hapo
 
Barua zote zipelekwe kwa katibu mkuu wa secretariat ukisoma tangazo la kazi la utumishi kwa chini kuna anuani
 
Samahani kaka,nataka kuandika barua kwa kiswahili,Unaanza na
Katibu Mkuu
Sekretarieti ya Ajira na utumishi wa umma,
P o box 63100
dsm
si ndio ivyo address ya kutuma hayo maombi
 
Ndio andika hivyo hivyo
 
Samahani kaka,nataka kuandika barua kwa kiswahili,Unaanza na
Katibu Mkuu
Sekretarieti ya Ajira na utumishi wa umma,
P o box 63100
dsm
si ndio ivyo address ya kutuma hayo maombi
Ndio mkuu ndo iyo iyo anuani
 
Samahani kaka,nataka kuandika barua kwa kiswahili,Unaanza na
Katibu Mkuu
Sekretarieti ya Ajira na utumishi wa umma,
P o box 63100
dsm
si ndio ivyo address ya kutuma hayo maombi
Sio Katibu Mkuu, ni
Katibu,
Sekretarieti ya Ajira na utumishi wa umma,
P o box 63100
dsm
 
Pole sana mkuu, naomba kukuuliza umezungumzia jamaa ako aliona internship za TBS juzi sio na ameitwa upande wa business analyst, kwahiyo kumbe shortlisted wameshaitwa katika interview...?
 
Nasikia jamaa wa TBS wanataka fresh graduates kama ulimaliza kitambo hutakiwi
Pole sana mkuu, naomba kukuuliza umezungumzia jamaa ako aliona internship za TBS juzi sio na ameitwa upande wa business analyst, kwahiyo kumbe shortlisted wameshaitwa katika interview...?
 
kama kazi inasema degree in IT/COMPUTER SCIENCE,MTU WA TELECOM UKIOMBA HUITWI,UTUMISHI WAKO VERY SENSITIVE KWENYE COURSE ULIYO SOMA,
Mimi nilichogundua kwenye taasisi za serikali huwa hawasomi CV.
Yaani kiufupi huwa wanakariri majina ya kozi Kama wakiona kozi uliyosomea jina lake ni tofauti na tangazo la kazi wanakutema.
Hata taesa pia ndio wako hivyo hawajui kwamba wakati mwingine unaweza kuwa competent kuwazidi hao wenye vyeti vyenye jina Hilo wanalotaka wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…