MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Walimu wamepanda madaraja tokea 2014 hadi leo hawajarekebishiwa mshahara, wamefuatilia hadi wamekata tamaa, Pia kuna Walimu wa mda mrefu madaraja yao wanazidiwa na wa Juzijuzi tu na Elimu wako sawa, kuna harufu ya Rushwa idara ya Tsd, tunawasihi Tamisemi wafanye uchunguzi Urambo Serikali inaibuwaaa!