muda wote huo, sasa hvi tanzania inafikika kirahisi, sema kama nauli ndio tatizo, halafu nahisi pia watakuwa wanahitajika haraka, kama ukifuatilia utagundua hata usaili wa nyuma wanatoa majibu haraka sana, hapa pia kuna majibu na nafasi zingine zinakuja soon.