Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Wasiliana nao kwanza, ukiona hawaeleweki we j2 chukua ndinga jumatatu uwafuate kabla mambo hayajaaribika.
Wasiliana nao kwanza, ukiona hawaeleweki we j2 chukua ndinga jumatatu uwafuate kabla mambo hayajaaribika.
pole sana wewe nenda siku ya interview inayokuhusu ila uwai tu
Asante sana mkuu kwa msaada wako.Ila naona muda umeenda sana, ngoja nivumilie labda bahati yangu kuingia serikalini bado.Ngoja niendelee kukomaa huku private.Mkuu nakushukuru tena sana.Ntakutafuta mkuu hata tuchonge mawili matatu.Angalia kwenye inbox nimeku-PM nimekutumia namba ya simu ya mtu anayeweza kukusaidia ambaye anahusika na masuala hayo pale Sekretarieti.