UTUMISHI HILI LA TPA SIJAWAELEWA KABISA

hakuna haja ya kuweka website yao hapa ka unata kuthibitisha ingia www.ajira.go.tz pia ishu sio mimi kutoitwa kimya kimya ka hao walivyoitwa inshu ni kwamba wamekiuka taratibu zao wenyewe na kuondoa uwazi na kuwafanya client wao kuzidi kukosa imani na sekretariet ya ajira
Ila si muda wote wanaweka majina kuna muda wanapigia simu tu au pia wanaweza kuaza na simu then wakaweka majina, kumpigia cm mtu haimaanishi kabebwa kwani huyo alokuambia kapigiwa simu hakuwepo kene interview??? Mfano ajira za mwisho za eGA walianza kuwapigia simu wakachukue barua zao ikapita wiki majina yakawekwa kene website ila hakuna kilichobadilika, TCRA tulifanya interview lakini hawakuweka majina ila walioajiriwa ni walewale waliofanya usaili na kufaulu waliwapigia simu.
 
Yes hata Mimi jamaa nimemuelewa hivyo hakuna kingine Zaid ya panic tu.
Kwa sababu mawasiliano ya simu ndio njia ya kumpata mtu kwa haraka kuliko zote.
Wakitoaga majina kwenye magazeti huwa mnalaumu na kusema watanzania hatuna utamaduni wa kusoma magazeti,na wakitoa majina kwenye website utasema hauna bando.
Sasa wafanyeje ili kusiwe na lawama.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahah hatuishiwi lawama, kikubwa ni kuvuta subra na kumuomba mungu ila kwa hakika utumishi wanajitahidi sana kupunguza ukiritimba wa ajira, mimi kwa upande naamini bila UTUMISHI nisingekuwepo hapa nilipo. Mi namshauri aombe Mamlaka ya Ngorongoro nadhani wako vizuri kimshahara hata kuajiri wako fair tu.
 
Naomba niulize kidogo ivi kwa madereva au kada za attendant wa makama uwa wanafanya interview ngpi Wana written n oral au wana oral pekee
 
ishatokea hata mimi nilifanya mpaka oral ila matokeo ndo yametoka juzi mtandaoni na waliochaguliwa wapo tayari cha msingi pambana na fursa zingien Mola atakusimamia tu ndugu yangu kama ni figisu huwezi zizuia isitoshe kama ungekuwa ndo umeitwa kimya kimya sidhani kama ungelaumu kwa nini umeitwa kimya kimya
 
Attendant 2 madereva 3 bt
Kwa ufupi siku hizi ukiona umeitwa kwenye usaili basi ujiandae na interview mbili na kma ni fundi basi unaongeza na prac
Naomba niulize kidogo ivi kwa madereva au kada za attendant wa makama uwa wanafanya interview ngpi Wana written n oral au wana oral pekee
 
hahahahahahahah hatuishiwi lawama, kikubwa ni kuvuta subra na kumuomba mungu ila kwa hakika utumishi wanajitahidi sana kupunguza ukiritimba wa ajira, mimi kwa upande naamini bila UTUMISHI nisingekuwepo hapa nilipo. Mi namshauri aombe Mamlaka ya Ngorongoro nadhani wako vizuri kimshahara hata kuajiri wako fair tu.
Mkuu mamlaka ya ngorongoro ndio TANAPA?
Na je mishahara yao ipoje kwa ngazi ya shahada na stashahada?
 
hahahahahahahah hatuishiwi lawama, kikubwa ni kuvuta subra na kumuomba mungu ila kwa hakika utumishi wanajitahidi sana kupunguza ukiritimba wa ajira, mimi kwa upande naamini bila UTUMISHI nisingekuwepo hapa nilipo. Mi namshauri aombe Mamlaka ya Ngorongoro nadhani wako vizuri kimshahara hata kuajiri wako fair tu.
watu wengi sana wana think but wachache sana wana think critically kwenye ishu za msingi. think critically
 
Utumishi walitangaza nafasi za kazi mwishoni mwaka jana, zilikua nafasi zai TPA na maelfu ya watu tukafanya written interview mwezi wa kwanza mwaka huu kama mchujo wa kwanza, waliobahatika walifanya interview ya pili (oral interview)tarehe 14 january mwaka huu(na mimi nikiwemo). Cha kushangaza mmekaa kimya mpaka mwezi huu wa tatu bila kuita watu kazini kwa wale waliofaulu interview,Lleo hii tarehe 23 rafiki angu mmoja kapigiwa simu na watu wa TPA na kuambiwa anatakiwa kuripoti kazini jumatatu ya tarehe 25 namaanisha kesho kutwa. UTUMISHI kwa nini mmechelewesha sana kuita watu kazini wakati oral ilifanyika tarehe 14 mwezi wa kwanza? Pili, kwanini leo tarehe 22 mmeita watu kimya kimya kwa kuwapigia simu baadhi ya watu pasipo kuweka majina ya walioitwa kazini wazi kwenye website yenu ka ilivyo taratibu na desturi yenu. UTUMISHI UWAZI Uko wapi na Kwanini Mmeamua kufanya ivyo? Nadhani Kuna HAJA na UMUHIMU wa jicho la tatu KUMULIKA kwenye hii Secretarieti ya ajira

Mungu ibariki TANZANIA
Huyo rafiki ako ni mzushi tu,mbona tangazo la kuitwa kazini limetoka majuzi April 17, 2019?

Watanzania mnapenda kuamini mambo ya vijiweni kweli kweli.

Haya tuambie nawe uliitwa ukaripoti kazini au haikuwa riziki?
 
Mtoa maada yupo sahihi, utaratibu ni kuweka majina kwenye website ili kuwa na uwazi maana hapo anaweza chomekwa mtu ambae hata hakufanya hiyo interview....
Mtoa mada ni mlalamishi tu,majina yamewekwa majuzi tarehe 17 April,2019

Tatizo lake alivyoona muda umepita bila kuona tangazo akajua tayari watu wameshaitwa kimya kimya.

Ingia kwenye www.ajira.go.tz utaona majina ya walioitwa kuripoti kazini TPA tangazo la April 17
 
Matokeo haya yanaonesha hali ya
uoga na kutojiamini inayowakumba Watanzania wengi wanapotakiwa kuelezea rasmi
yaleyale wanayoyanong’ona kwa nguvu au kuyazungumza pembeni kwa
hamasa kubwa. Kwa mtindo huu Taifa linaweza kuishia kuwa la
walalamishi wasio na ujasiri wala dhamira ya dhati ya kukemea
maovu pale inapobidi. copy and paste from somewhere
Unalalamika sababu hujaitwa ungeitwa Je ungeuchuna? ILA HII PSRS IVUNJWE TU. na kufkiria mbinu mbadala ya kuajiri..
 
Back
Top Bottom