Utumiaji wa mpira

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Napenda kufahamu kama wanandoa hutumia mipira ya kike/ kiume (kama lile tangazo la familia con*om) linavyosisitiza juu ya upangaji wa uzazi. Je wanandoa hufaidi na kufurahia (enjoy) tendo lao? na je huwa na hisia sawa na kama hawakutumia mpira?
Tafadhali wanandoa nihabarisheni!
Kwa asilimia ngapi wanandoa hutumia mpira?
Je hufurahia tendo?
.......................................................
 
Huku hamna wanandoa wajameni embu nielezeeni basiiiii
 
Napenda kufahamu kama wanandoa hutumia mipira ya kike/ kiume (kama lile tangazo la familia con*om) linavyosisitiza juu ya upangaji wa uzazi. Je wanandoa hufaidi na kufurahia (enjoy) tendo lao? na je huwa na hisia sawa na kama hawakutumia mpira?
Tafadhali wanandoa nihabarisheni!
Kwa asilimia ngapi wanandoa hutumia mpira?
Je hufurahia tendo?
.......................................................

Wanasayansi waeleza kuwa ukitumia mipira, kuna asilimia 98%, ya kinga, kwa magonjwa ya zinaa, ama kukinga minga. Hiyo asilimia 2, mara nyingi hua ni kutojua matumizi.

Kuhusu hisia, Raha bado utaipata, kwani hisia za mapenzi ni kutoka kwa ubongo wako!!!,

Mwisho, dini nyingi zinakataza matumizi ya mipira, kwani wanasema hio ni kinyume, na ni kama kuua!!!!!
 
Sasa ushauri wako upi maana hii ni kama program flani ya kuhamasisha uzazi wa mpango, maana hata kutumia vidonge, vpandikizi n.k ni kuua mbegu sasa itakuaje hapo mkuu..................
 
Who cares???????????????????????????????
 
Wanasayansi waeleza kuwa ukitumia mipira, kuna asilimia 98%, ya kinga, kwa magonjwa ya zinaa, ama kukinga minga. Hiyo asilimia 2, mara nyingi hua ni kutojua matumizi.

Kuhusu hisia, Raha bado utaipata, kwani hisia za mapenzi ni kutoka kwa ubongo wako!!!,

Mwisho, dini nyingi zinakataza matumizi ya mipira, kwani wanasema hio ni kinyume, na ni kama kuua!!!!!
eee kumbe? mie ndo kwanza nasikia kama dini zinakataza matumizi ya mipira...
 
Matumizi ya mipira yanakatazwa na dini sababu yanafanya vijana wafanye ngono sana kwani wanajua si watatumia kinga?Pia tafiti nyingi za wadau mbalimbali zinasema kuwa kondom si njia sahihi kuzuia ukimwi kwani zina vitundu vigogo sana na virusi huweza kupenya.Hivyo basi mm nawashauri vijana wenzangu kupunguza ngono.Bora usubiri au uwe na mpenzi mmoja.Lakini kusubiri ndio njia muafaka zaidi
 
nyumba ndogo tu kutumia condom inakuwa shida ndio utaweza kwa mkeo, ngumu kutumia condom kwa mkeo labda muwe mmeshauriwa na daktari bingwa
 
King'asti hii signature yako Which one would you prefer, to be IGNORED or to be CRITICIZED........?
mbona mi naona kwa yeyote mwenye kutumia common sense jibu ni rahisi . hata hivyo nimeipenda.
 
Matumizi ya mipira yanakatazwa na dini sababu yanafanya vijana wafanye ngono sana kwani wanajua si watatumia kinga?Pia tafiti nyingi za wadau mbalimbali zinasema kuwa kondom si njia sahihi kuzuia ukimwi kwani zina vitundu vigogo sana na virusi huweza kupenya.Hivyo basi mm nawashauri vijana wenzangu kupunguza ngono.Bora usubiri au uwe na mpenzi mmoja.Lakini kusubiri ndio njia muafaka zaidi

Jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!, Ukweli tuseme, kupunguza sioni, subira binadamu hana kabisa!!!. Maisha yalivyo sasa, ili kuzuia janga na maafa (Nyama zina anikwa nje,nje!!!), Lazima tuambiane ukweli Jamani. UKIMWI WAMALIZA WATU, Ukishindwa kujizuia.......tafadhali tumia [COLOR="#KONDOMUff0000"][/COLOR]. Ukiathirika wewe na Familia yako, wanadini watakuombea, lakini utapona???

Watu wengi wanaopatikana kuwa POSITIVE ilihali wapenzi wao NEGATIVE, yaani(Discordant partners), wanahitaji kutumia mipira angalau wasizidishe ukali wa ukimwi ama kuambukiza wenzao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom