Utulivu uliopo jijini wakati wa mkutano wa SADC unatakiwa kuendelezwa. Bodaboda kweli ni hatari mjini

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,892
2,000
Wana JF,

Imethibitika uwepo wa boda boda mjini ni moja ya uchafu mjini. Pia ndio waleta ajari wakubwa.

Sasa hivi mjini unatembea kwa raha kwenye njia za watembea kwa miguu. Hofu imepungua kwani vijana hawa hawana adabu na barabara.

Wengi hawana mafunzo wanatumia njia ambazo zimefungwa yaani one way ovyo au wanapita njia zisizorusiwa.
 

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,688
2,000
Boda boda imeajiri watu mkuu
Zikipigwa stop mambo ya kupigana ngeta yatarudi mtaani

Acha wakusanye buku buku wapate pesa ya kula

Inahitaji mpango wa muda mrefu kuwaondoa boda boda mtaani na sio kikurupuka
 

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
5,319
2,000
Leo nimeshuhudia bodaboda wakipigwa viboko na Askari polisi maeneo ya Bandar ya Kwanza Hadi hapa BP ili wasivuke kuingia mitaa ya mjini hakika ilikuwa kama sinema..
 

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
14,679
2,000
Wana Jf.
Imethibitika uwepo wa boda boda mjini ni moja ya uchafu mjini. Pia ndio waleta ajari wakubwa. Sasa hivi mjini unatembea kwa raha kwenye njia za watembea kwa miguu. Hofu imepungua kwani vijana hawa hawana adabu na barabara. Wengi hawana mafunzo wanatumia njia ambazo zimefungwa yaani one way ovyo au wanapita njia zisizorusiwa.
Ile semi ya mafuta ya Morogoro ilipinduka wakati dereva akimkwepa jamaa wa boda boda.

Chanzo cha majanga yote yaliyofuatia ni boda boda mmoja tu na nina uhakika hakusimama baada ya kusababisha lori kupinduka.
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,892
2,000
Ile semi ya mafuta ya Morogoro ilipinduka wakati dereva akimkwepa jamaa wa boda boda.

Chanzo cha majanga yote yaliyofuatia ni boda boda mmoja tu na nina uhakika hakusimama baada ya kusababisha lori kupinduka.
Hawa watu ni hatari sana. Kwa kila nyanja wakati hawapo kulikuwa samama mjini tangu wawepo wizi umeongezeka na jari ndio zaidi.
 

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
24,788
2,000
Boda boda imeajiri watu mkuu
Zikipigwa stop mambo ya kupigana ngeta yatarudi mtaani

Acha wakusanye buku buku wapate pesa ya kula

Inahitaji mpango wa muda mrefu kuwaondoa boda boda mtaani na sio kikurupuka
Hata kama hawataondoka, ila itachukua muda mrefu mpaka usafiri huo uje kuwa bora na usioleta maafa ama usumbufu kwa wengine.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom