JE! GODBLESS LEMA NDIYE CHANZO CHA KINACHOITWA KUKOSEKANA KWA UTULIVU JIJINI ARUSHA?
Mimi sielewi ni kitu gani kinachofanya watu kufikiri kuwa aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini ndiye chanzo cha kukosekana utulivu hapa Arusha. Mimi naona Arusha watu wake wamechoka kutawaliwa kwa ahadi na sera na ilani zisizotekelezeka. Arusha ni mji wa amani na utulivu ila CCM wakubali kuwa walishalipoteza jimbo hili kwa miaka mingi ijayao.
Kwa Usemi wa JK kwamba sasa Arusha haina fujo ni dhahiri kabisa yeye JK ndiye aliyeshinikiza LEMA atolewe Arusha. ss tunamuhakikishi kwamba ccm haitatawala Arusha milele na milele amina!!
Naomba Kikwte aitishe mkutano NMC atuambie huo ujinga....Kwa Usemi wa JK kwamba sasa Arusha haina fujo ni dhahiri kabisa yeye JK ndiye aliyeshinikiza LEMA atolewe Arusha. ss tunamuhakikishi kwamba ccm haitatawala Arusha milele na milele amina!!
Uzuri wananchi wameanza kuijua CCM ndiyo maana tuna wasubiri kwa lolote wa kitenda haki tutashukuru kwa sababu watapunguza garama za kampeni lakini wakipindisha tukaenda kwenye game basi kura 10,000 wakizipata nitashangaa sana......maana kwa jinsi ilivyo Arusha kwasasa chadema wakiweka kambi sijui hizo kampeni zitakuwaje.......Siyo tu kwamba JK ametuthibitishia kuwa ni yeye alimshinikiza yule jaji kutoa hukumu ile, bali pia katuthibitishia kuwa kichwa chake kweli ni nazi!!!
Kwa mtu makini, na hasa Rais, hakutakiwa kutoa kauli ile hadharani kwa sababu anajua fika kuwa yeye anatuhumiwa kumshinikiza yule jaji.
Na pia hakutakiwa kutoa kauli ile huku akijua kuwa hukumu imekatiwa rufaa!! Je kwa kutoa kauli hii hamshinikizi jaji atakayesikiliza rufaa??
Shame on JK!!!
Uzuri wananchi wameanza kuijua CCM ndiyo maana tuna wasubiri kwa lolote wa kitenda haki tutashukuru kwa sababu watapunguza garama za kampeni lakini wakipindisha tukaenda kwenye game basi kura 10,000 wakizipata nitashangaa sana......maana kwa jinsi ilivyo Arusha kwasasa chadema wakiweka kambi sijui hizo kampeni zitakuwaje.......
Mkuu nimekusoama kamanda....Mkuu soma PM yako
Mkuu nimekusoama kamanda....
Mkuu tangu vyama vingi viingie CCM haikuwahi kushinda Arusha mjini... Mwaka 1995 Makongolo Nyerere aliwagalagaza vibaya wakakata rufaa na kumnunua makongolo, chaguzi zingine wamekuwa wakifanya uchakachuaji mwaka juzi walitaka kuchakachua watu wa Arusha wa kahamia ofisi za manispaa kuhakikisha hachakachuliwi mtu mpaka kikaeleweka hivyo elimu aliyo itoa Lema kipindi cha kampeni mwaka 2010 kupiga kura na kulinda kura kama barcelona pamoja na ujasiri Arusha hakika uchaguzi hata ukirudiwa kesho CCM wasahau jimbo la Arusha....Nikweli kuwa hali ya hapa Arusha ccm inachukiwa sijui kama nini yaani akitokea hata mtu atakaye kisifia chama cha magamba wanachi watam'bishania mpaka aondoke mwenyewe .