Ulitaka kutoa hela au kujiondoa kabisa na huo mfumo?Tarehe 26, nliuza vipande vyenye thamani ya 1m kwenye account ya umoja fund mpaka leo tarehe 03 hawajanipa hela, naona process inachukua mda sana, yani mtu ukiwa na dharura ya ghafla utt sio ya kuitegemea
Kutoa hela mkuuUlitaka kutoa hela au kujiondoa kabisa na huo mfumo?
Kama ukiweka million 1 kwa kila mwezi unapokea kiasi gani?Kutoa hela mkuu
Hela ndogo sana coz ni 1% monthly kwahiyo ni kama 10000, ambayo pia haiwi kamili , roughly ni 7500Kama ukiweka million 1 kwa kila mwezi unapokea kiasi gani?
Kama ni hivyo huoni kwamba hapo ni uwekezaji ni WA kijinga maana ni Kama unakuja kupata laki 1 kwa mwaka ukizidisha kwa miaka 10 ndio unapata return ya kile ulichowekaHela ndogo sana coz ni 1% monthly kwahiyo ni kama 10000, ambayo pia haiwi kamili , roughly ni 7500
Nadhani hii ni isolated issue sijawahi kuwa na shida ya aina yoyote na UTT zaidi ya hela kuchelewa last month ila baada ya kufuatilia nikagundua shida ipo CRDB na sio UTT.Mfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu kama pesa hakikisheni mnafanya kazi zenu kwa weledi.Dunia iko kidijitali lakini mnafanya makosa yanayowagharimu wateja halafu mnajizima data.
Mathalani wimbi la kukosea na kuunganisha mifuko ya wazazi na wategemezi na kumkosesha mteja (mzazi) kupata huduma anapohitaji ni wazimu na tatizo sugu ambalo kila wakati linatokea na mkipigiwa huduma kwa wateja mnavimba na maswali mengi kwa makosa mliyofanya nyie wakati wa kuhifadhi taarifa za wateja. Mnaposema mteja aje ofisini na huduma ziko kiganjani kwa makosa yenu mnakuwa mnataka nini?
Hivi amuoni uwekezaji ni wakijinga mnafanya hivi mtu anaweka million 1 kwa mwaka anapata laki 1 tukipiga mahesabu kwa miaka 10 ndio anapata return ya kile alichowekezaNadhani hii ni isolated issue sijawahi kuwa na shida ya aina yoyote na UTT zaidi ya hela kuchelewa last month ila baada ya kufuatilia nikagundua shida ipo CRDB na sio UTT.
investors wanaotumia hela za mshahara bwanaMfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu kama pesa hakikisheni mnafanya kazi zenu kwa weledi.Dunia iko kidijitali lakini mnafanya makosa yanayowagharimu wateja halafu mnajizima data.
Mathalani wimbi la kukosea na kuunganisha mifuko ya wazazi na wategemezi na kumkosesha mteja (mzazi) kupata huduma anapohitaji ni wazimu na tatizo sugu ambalo kila wakati linatokea na mkipigiwa huduma kwa wateja mnavimba na maswali mengi kwa makosa mliyofanya nyie wakati wa kuhifadhi taarifa za wateja. Mnaposema mteja aje ofisini na huduma ziko kiganjani kwa makosa yenu mnakuwa mnataka nini?
Hiyo 1m Iweke bank unapata laki 9 na point wanakata gharama za kukutunzia hela zako...hata hivyo the law is low Risk low returnHivi amuoni uwekezaji ni wakijinga mnafanya hivi mtu anaweka million 1 kwa mwaka anapata laki 1 tukipiga mahesabu kwa miaka 10 ndio anapata return ya kile alichowekeza
Buku 10: 1,000,000 x 12/100= 120,000/12 = 10,000.00Kama ukiweka million 1 kwa kila mwezi unapokea kiasi gani?
Kwa maana hiyo ndani ya miaka 10 ndio unaeudisha ile investment yako huu si ukichaa si Bora ufanye biasharaBuku 10: 1,000,000 x 12/100= 120,000/12 = 10,000.00
Ndiyo hivyo boss. Labda u- invest 1bn.Kwa maana hiyo ndani ya miaka 10 ndio unaeudisha ile investment yako huu si ukichaa si Bora ufanye biashara3