Utowashi ndio maisha yangu sasa!

Utowashi ndio maisha yangu sasa!

Nasian Ressy

Senior Member
Joined
Jul 12, 2026
Posts
122
Reaction score
317
Niliweka viapo katika maisha yangu sitawahi zini,sitawahi oa,wala kununua malaya kabisa. nipo 47 yrs purely sexless nasitawahi dhubutu kuvunja viapo maisha yangu yote.
 
Niliweka viapo katika maisha yangu sitawahi zini,sitawahi oa,wala kununua malaya kabisa. nipo 47 yrs purely sexless nasitawahi dhubutu kuvunja viapo maisha yangu yote.
Unajiskiaje unakuwa na furaha muda wote? Unahisi hamna kitu kinapungua kabisa kwenye maisha ,maisha yako watu wanakutafsiri vipi?
 
Back
Top Bottom