Captain Kibonge7
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 449
- 552
Hamna teenager hapo.Trump? At teenage!?
Kabisaaa[emoji23]Uzuri wa watoto hawajicalculate.....
Miaka ya utundu mwingi wa kitoto,10-12. Not a teen yet
Shikamoo darassa.......[emoji445]Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni[emoji445]
Mkuu unajua huyu msanii na wimbo wake anavuma na hata mtoto anaufahamu wimbo huu kuliko hata wimbo taifa.Angalizo:.Ana kazi ya kubaki kileleni vinginevyo.......[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
Kweli kabisaMkuu unajua huyu msanii na wimbo wake anavuma na hata mtoto anaufahamu wimbo huu kuliko hata wimbo taifa.Angalizo:.Ana kazi ya kubaki kileleni vinginevyo.......
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Mkuu hujarudi nyamisati maana nimemiss lile jitu[emoji85] [emoji85]Kweli kabisa
Hapo kisha temea mate chapati ili wasimuombe.Baba saidia nisiombwe chapati yangu.