ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
View attachment 127157
reloaded
kweli utoto raha..
View attachment 127157
reloaded
Vipi huyo mwenye meno yote nje, aliye karibu na huyo waziri wa fweza!.hasa huyo mwenye t-shirt ya blue mikononi.....anaonekana kuwa waziri wa fedha wallah........
Vipi huyo mwenye meno yote nje, aliye karibu na huyo waziri wa fweza!.
Hapa anaweza kuibuka Prof. mpaka ukashindwa kuamini.
Mi niliwahi kuwa ba harusi kama mara mbili hivi, hadi ubwabwa ukapikwaLol...nimekumbuka mbaliii mie kila siku tukicheza nlikua nakua bi harusi napurwa huyooo poda tunaiba nyumbani lipstick napakwa yako maua fulani yanatoa rangi nyekundu..
Utoto bwana rahaaa....
Lol...nimekumbuka mbaliii mie kila siku tukicheza nlikua nakua bi harusi napurwa huyooo poda tunaiba nyumbani lipstick napakwa yako maua fulani yanatoa rangi nyekundu..
Utoto bwana rahaaa....
hasa huyo mwenye t-shirt ya blue mikononi.....anaonekana kuwa waziri wa fedha wallah........