Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,423
- 193,367
Utoto ni kama, kupakatana, kubebana, kuogeshana, kuwekewa chandarua, kupelekewa maji bafuni, kuandaliwa chakula, kufuliwa mpaka nguo za ndani, kujiliza wakati wa.... Ukubwa ni lile tendo la ndoa tu. Eboo kwani wewe huwezi kujifanyia haya yote. Na mtoto afanyiwe na nani.