Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,983
Nilikuwa nikilia naletewa kioo nijione ninavyokuwa mbaya
Nilishindwa kuvaa suruali, ilibidi dada yangu anivue suruali akimbie nyumbani kunichukulia kaptura safari ya kwenda kanisani iendelee, utoto bwana we acha tu, natamani kurudia utoto lakini ndo ishatoka hiyo.
Nilikuwa nikilia naletewa kioo nijione ninavyokuwa mbaya
kweli jombaUkila chakula huku umesimama utapigwa kibao na shetani.ukipiga chabo vyumba vya watu utakuwa kipofu ukubwani.
ukikojoa njiani mama yako anakatika ziwa,ukilia usiku shetani anachukua sauti,dah ila utoto umejaa uongo aisee!