Wajitathmini,siyo hadi mama awawajibishe. Ni fedheha sana, walinzi wapo, halafu mali zinaporwa.Uweze kujenga ukuta usiweze kufuatilia njia za chini kwa chini. Nyie ni watu wa ajabu mwalidharaulisha na kulifedhehesha jeshi letu la JWTZ mbele ya jamii kwa tamaa zenu za madaraka ya kisiasa. Chagueni nini cha kuongea basi. CDF na team nzima ya ulinzi na usalama iwajibishwe kwa uzembe huu mnaotu aminisha.
Wajitathmini,siyo hadi mama awawajibishe.Ni fedheha sana,walinzi wapo,halafu mali zinaporwa.
CDF ajitathmini,aonyeshe mfano. JPM alikua anawasema wengine, huyu kampandia hadi CDF.Na zinazo porwa na Majizi na Mafisadi ambao ni baadhi ya wanasiasa na washirika wao nani atajitathimini? Acheni huu upuuzi wenu.
Waliokua kwenye utawala ule halafu wakakaa na JPM kinafiki hawafai kabisa, walitakiwa waache ngazi kuonyesha hawakubaliani na unafiki,badala yake eti saa hizi,ndiyo wanasema, hii si sawa. Tuishi maisha ya kweli na halisi, kama JPM alivyoishi kwa kuonyesha rangi yake halisi hadi anakufa.Inasikitisha kusikia kua hata taarifa za kutoroshwa madini tumekuja kuzipata baada ya kifo cha mwendazake
Ilikuwa ni dhambi kubwa kiasi gani kuongea ukweli kwenye utawala uliopita?
Unabishana na rais aliyosema hayo jana?Uweze kujenga ukuta usiweze kufuatilia njia za chini kwa chini. Nyie ni watu wa ajabu mwalidharaulisha na kulifedhehesha jeshi letu la JWTZ mbele ya jamii kwa tamaa zenu za madaraka ya kisiasa. Chagueni nini cha kuongea basi. CDF na team nzima ya ulinzi na usalama iwajibishwe kwa uzembe huu mnaotu aminisha.
unabishana na rais aliyosema hayo jana?
Ni hivi.. umezungushwa ukuta sawa, lakini uchimbaji huhusisha utafutaji wa mali mielekeo tofauti tofauti chini kwa chini hivyo kuzaa mahandaki marefu ambayo yanavuka usawa wa ukuta umbali mrefu tu.. sasa kama unataka kutoroshea hukohuko unashindwa?sii kweli kwa njia za chini ni haiwezekani itakuwa ni mbinu nyingine ila ya njia za chini ni kitu hakiwezekani
Katamka rais sisi tunaongeza nyama tuuUweze kujenga ukuta usiweze kufuatilia njia za chini kwa chini. Nyie ni watu wa ajabu mwalidharaulisha na kulifedhehesha jeshi letu la JWTZ mbele ya jamii kwa tamaa zenu za madaraka ya kisiasa. Chagueni nini cha kuongea basi. CDF na team nzima ya ulinzi na usalama iwajibishwe kwa uzembe huu mnaotu aminisha.