Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,209
- 33,758
Thamani ya mwanamke ni purity, loyalty. Hivi ni vitu ambavyo mwanamke anaingia kwenye dating pool akiwa navyo tayari. Lakini kadri muda unavyoenda mwanamke akiendelea kubaki mtaani na hizo factors zinazompa thsmani nazo zinafifia.
Kupitia mahusiano kadhaa ile purity haitakiwepo tena. Innocence nayo inaondoka anakua sugu. Hii itapelekea loyalty nayo kutoweka maana anakua na mentality kwamba men are replaceable. Relationships are adventure.
Thamani ya mwanaume ni finance and stability. Hivi ni vitu ambavyo mwanaume anaingia kwenye dating pool akiwa hana. Akiwa na malengo basi kadri miaka inavyoenda thamani yake itapanda ngazi.
Sasa point ya mwanaume na mwanamke kupishana ni pale kwenye 30's. Ambapo mwanamke anaingia kwenye declining stage, na mwanaume anaingia kwenye rising stage.
Hapo kama mwanaume kwenye 20's alikua na malengo ndio wakati wa kula maisha, pia atakua na unlimited options za mademu. Hapo hautongozi, wanajileta wenyewe. Upande wa mwanamke kama 20's aliitumia vyema hapa anakua na familia, kama alikua mfuasi wa ile kauli ya "kwa sasa sitaki kuolewa nataka nifanye msmbo yangu" basi hapo kwenye 30's mwanamke huyo anakua feminist.