Utofauti wa mwanamke na mwanaume

Utofauti wa mwanamke na mwanaume

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
UTOFAUTI WA MWANAMKE NA MWANAUME

Miaka 18, Mwanamke ana chaguo. Miaka 18, Mwanaume hana chochote.

Miaka 25, Mwanamke anatafuta upendo. Miaka 25, Mwanaume anajitafuta kimaisha.

Miaka 30, Mwanamke anamaisha tayari.
Miaka 30, Mwanaume anaanza kuona mafanikio.

Maisha ya mwanamke yanaanza akiwa na miaka 18. Maisha ya mwanaume yanaanza akiwa na miaka 30.

Mwanamke anazaliwa na thamani, Mwanaume anazaliwa bila thamani.

Mwanamke lazima ailinde thamani yake, Mwanaume lazima ujenge thamani yako.
 
Age nzuri ya kuona mtoto wa kiume n miaka 30
Na unatakiwa kuoa binti wa miaka 18-22. Kama ni agemate wako basi muwe mlianza mahusiano yenu tangu shule, wa kukutana nao mtaani sio poa.

Miaka 30 mwanamke amebeba mambo mengi sana moyoni. Sex life yake ikiwekwa wazi hakuna mwanaume atakaweza hata kumsogelea tu
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom