Utofauti wa Lecture, Assistant Lecture na Tutorial Assistant ni upi?

Ukiwa na master's degree, alaf ukawa ni mtu Kwa kupublish papers katika journals tofauti tofauti za vyuo mbalimbali, Kuna points utapata ambazo zitaweza kuku-upgrade kuwa lecturer bila kusoma PhD.

Ndio tunaita PhD ya gani? Hii
 
Kuna tofauti ya mtu kuwa na PhD na kuwa lecturer. Si lazma mtu akiwa lecturer basi awe ni PhD holder. Huyu mtu ambae ana master na amepublish several papers na kupata point kadha atabaki kuwa masters holder lakini ni lecturers.

Ok
 
Habari zenu wana JF

Naomba kuuliza utofauti wa hawa watu watatu,,,na ni kwa namna gan mtu anaeza timiza ndoto yake ya kuwa lecturer?

Lecture= Lecturer, Assistant Lecture= Assistant Lecturer.
Wewe ndiye unatafuta ajira hujui hata kuandika titles za watu kweli? Na hapo pengine unajiita msomi nwenye degree. Kweli elimu yako ni uchafu mtupu. Hii inatisha sana!
 
Suala siyo tu kuelewa na kurekebisha ulipokosea! Tatizo letu hatupendi kuambiwa ukweli!

Kaa na ujinga wako! maana huo siyo upumbavu
Kuita kosa "aibu" ndio shida ilipoanzia. Na wewe kubali kukosolewa.
 
Lecture= Lecturer, Assistant Lecture= Assistant Lecturer.
Wewe ndiye unatafuta ajira hujui hata kuandika titles za watu kweli? Na hapo pengine unajiita msomi nwenye degree. Kweli elimu yako ni uchafu mtupu. Hii inatisha sana!
Hapana sio uchafu mtupu. Kakosea labda hajui... muelekeze vizuri tu mbona wote tuki safari ya kujifunza? Ukiona unajua kila kitu na huna cha kujifunza ujue siku zako duniani zimeisbia. Ukiona mtu ana mengi ya kujifunza ujue bado ana musa sana hapa
 
Ungeanza kuuliza kwanza utofauti wa Lecture na Lecturer. Msomi mjinga sana.
 
Hapana, Assistant Lecturer haruhusiwi kufundisha mwanafunzi wa Master Degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…