Simon Henry Member Joined May 16, 2019 Posts 8 Reaction score 15 Jul 9, 2019 #1 Mtu mjinga ni yule ambae amekoswa maarifa kuhusu jambo ,neno au tendo fulani . Lakini mtuhuyu anaweza kufundishwa na akaelewa na hata kubadilika Lakini mtu mpumbavu ni yule ambae hajui kama hajui wala hataki kujua wala kuelewa kwamba hajui kwahio hawezi badilika hata kama akiipata elimu hio Comment 👇 kama unalolote la kuongezea
Mtu mjinga ni yule ambae amekoswa maarifa kuhusu jambo ,neno au tendo fulani . Lakini mtuhuyu anaweza kufundishwa na akaelewa na hata kubadilika Lakini mtu mpumbavu ni yule ambae hajui kama hajui wala hataki kujua wala kuelewa kwamba hajui kwahio hawezi badilika hata kama akiipata elimu hio Comment 👇 kama unalolote la kuongezea
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,954 Reaction score 8,148 Jul 9, 2019 #2 Mpumbavu pia ni yule anaye fanya jambo baya au lenye madhara huku akijua mpumbavu ufanya vitu kwa makusudi
Mpumbavu pia ni yule anaye fanya jambo baya au lenye madhara huku akijua mpumbavu ufanya vitu kwa makusudi
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,182 Reaction score 6,482 Jul 9, 2019 #3 TAFAKURI YA TBC HABARI YA LEO , 09/JULY/2019..... dah jamaa tbc , wapo creative sana .. ..as i know ujinga ni ile hali ya kutokujua kitu mpaka ufundishwe au madhara yatokee ndipo utaelewa/juwa kuwa jambo flan ni hamna na jinsi ya kuliepuka.
TAFAKURI YA TBC HABARI YA LEO , 09/JULY/2019..... dah jamaa tbc , wapo creative sana .. ..as i know ujinga ni ile hali ya kutokujua kitu mpaka ufundishwe au madhara yatokee ndipo utaelewa/juwa kuwa jambo flan ni hamna na jinsi ya kuliepuka.
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,182 Reaction score 6,482 Jul 9, 2019 #4 UPUMBAVU . ni hle hali ya kutokujua kitu mpaka uelekezwe , au unajua hali/kitu hicho na madhara yake (mabaya/mazuri) na bado kinaendekezwa /kufanywa/kutendwa ingawaje mtendaji anafahamu fika kwamba lina (side effects )
UPUMBAVU . ni hle hali ya kutokujua kitu mpaka uelekezwe , au unajua hali/kitu hicho na madhara yake (mabaya/mazuri) na bado kinaendekezwa /kufanywa/kutendwa ingawaje mtendaji anafahamu fika kwamba lina (side effects )
Vi rendra JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 3,313 Reaction score 5,730 Jul 9, 2019 #5 Mjinga ni mtu asiyefahamu kitu fulani Mpumbavu ni mtu anaefahamu madhara ya kitu kibaya na akaendelea kukifanya
Mjinga ni mtu asiyefahamu kitu fulani Mpumbavu ni mtu anaefahamu madhara ya kitu kibaya na akaendelea kukifanya
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,585 Jul 9, 2019 #6 Mmmmh!Ni kweli kabisa ila sijui mantiki HALISI ya yote yaliyotajwa hapo juu ni yapi!. Anyway "1 Wakorintho15:1-2".
Mmmmh!Ni kweli kabisa ila sijui mantiki HALISI ya yote yaliyotajwa hapo juu ni yapi!. Anyway "1 Wakorintho15:1-2".