Utitiri wa nguzo sasa ni kero

Utitiri wa nguzo sasa ni kero

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,544
Reaction score
1,722
Salaam,kwa sasa uwekaji wa NGUZO hapa Dar umeishakuwa kero yaani zinaharibu show ya jiji,kwanini makampuni yenye hizo nguzo yasishirikiane kushare nguzo moja ibebe waya zao zote? Mnaosimamia hili jiji hebu kaangalieni mandhari ya majiji kama Tokyo au San Fransisco mpate kujifunza.
IMG_20250807_081119_163.jpg
Hizi picha mbili zimepigwa maeneo ya Mugabe Sinza Dar es salaam.
IMG_20250807_081429_506.jpg
 
Mkuu pole , sio wewe TU hata CCM wanaliona hilo, ila wanasema CCM mbele kwa mbele.

Viongozi wenu hawana ubunifu wa kuongoza nchi.
Tokea awamu ya 1, viongozi waliokuwa washamba sana .

Imagine UK wangekuwepo mpaka Sasa Tanganyika ingekuwa iko level gani kiuchumi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom