mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,169
- 1,072
Jamani uchumi wetu unahujumiwa wazi wazi..
Mabepari wanatumia utitiri wa mabenki kutorosha fedha kwenda kwenye mataifa yao ya asili.
Utakatishaji fedha utazidi kushamiri sababu ya njaa ya mabenki kutaka faida,kuonekana yanapata faida..
Uchumi wetu unabemendwa na wanaoitwa wawekezaji wa kigeni,Wafanyakazi wa kigeni,Wakandarasi wa kigeni...
Tuna benki zaidi ya 56 wakati uchumi wetu ukiwa mdogo mno,Afrika ya Kusini yenye uchumi namba 2 Afrika ina Benki zisizozidi tano.
Mabenki ndugu yasiruhusiwe kufanya biashara ktk taifa sababu ya syndicates za kibiashara..
Wakuu wa mabenki wasio watanzania wachunguzwe waingiapo na watokapo..