UTHIBITISHO WA CHUO

UTHIBITISHO WA CHUO

ngwere96

Member
Joined
May 16, 2019
Posts
44
Reaction score
16
Kuna mdogo wang kachagulia multiple first round alichagulia chuo x na z na akadhibitisha chuo x bt sec selctn akachaguliwa chuo y na anataka akasome chuo y na kadhibitisha chuo y kaenda chuo x kucancel kwa mtandao imekataa bt wanasema haina shidah anaweza akaenda huko chuo y bt mkopo unaweza ukaenda chuo x so anaweza fanya transfer....Ambao wamepitia situation hii waje waeleze km haina tabu
 
hizo x,y,z umeharibu maana kabisa...
kwanini usiandike majina ya vyuo??
 
Kuna mdogo wang kachagulia multiple first round alichagulia chuo x na z na akadhibitisha chuo x bt sec selctn akachaguliwa chuo y na anataka akasome chuo y na kadhibitisha chuo y kaenda chuo x kucancel kwa mtandao imekataa bt wanasema haina shidah anaweza akaenda huko chuo y bt mkopo unaweza ukaenda chuo x so anaweza fanya transfer....Ambao wamepitia situation hii waje waeleze km haina tabu

Dogo kwanini unadanganya?? Kwani ukisema mhusika ni wewe utakufa?
 
Kuna mdogo wang kachagulia multiple first round alichagulia chuo x na z na akadhibitisha chuo x bt sec selctn akachaguliwa chuo y na anataka akasome chuo y na kadhibitisha chuo y kaenda chuo x kucancel kwa mtandao imekataa bt wanasema haina shidah anaweza akaenda huko chuo y bt mkopo unaweza ukaenda chuo x so anaweza fanya transfer....Ambao wamepitia situation hii waje waeleze km haina tabu
 
Mwambie atafute coordiante za x and y

Haha.jf kuna vituko sana sa lzm niseme mm nenda mada inavyosema braza
 
Back
Top Bottom